Actually unaweza kua kama Elon Musk, i mean unaweza kua na $250B au kumzidi kama ndo una maanisha. It’s entirely possible even if uko ndanda huko but it’s an uphill battle, very very rough road it gonna take you to be there.
Kua na $250B unahitaji vifuatavyo.
First and foremost unajitaji kua na IQ kubwa. At least <100 ambayo na hope unayo.
Why that IQ?
Hiyo ina guarantees deep innovative and creative mind. Actually critical thinking.
2nd
Uwe na Right time and impactful idea such that it actually solves peoples problems.
Why right time?
Sio idea tu bali idea ambayo itasolve tatizo lililopo na kwa watu wengi.
Hii itasaidia nini?
Namaanisha idea ambayo haitahitaji marketing sana, itajisell kutokana na quality yake na how it solves problem.
Narudia tena iwe timely needed idea.
Uliwahi ona tesla ina advertise magari yao? No. Why? You’ve your answer.
3rd
Baada ya kua na hiyo unique idea, fundraise na create kampuni and start mass production of your product au scale service.
4th
Go public and have your company listed on stock exchange market. And request abroad SEs listing too. Kwasababu ni unique company offering unique products/service investors wataflock kununua share kwenye SE markets.
Assuming umeanza na $500 per share on SE na your company ina shares 100k. Valuation ya company yako $50m.
Assume wewe ni co-founder na unamiliki 50% ya company.
That means unautajiri wa $25m
Kama demand ya shares zako zikizidi sana, shares price ita skyrocket.
As time goes on.
Kua na $250B kampuni yako inabidi ifikie valuation ya $250B /.5 =$500B
That’s an impressive steel balls blud.
Getting to $250B kutokea 🇹🇿 would need a freaking genius mind.
Example of things zinazoweza kukupa $250B or more within a year ni kua na idea ya batteryless mobile phone halafu uiuze apple, samsung na makampuni mengine.
You need to be from mars at this moment.
Are you ready?