Misihitaji kuwa Kama Elon Musk maana hata nikitaka siwezi fikia hata Robo ya utajiri wa Musk.
Minataka vitu vichache tu kwanza mchongo naousikilizia utusue niwe na uhakika wa mshahara wa 600,000 Tzs kila mwezi baada ya hapo nikamilishe ka office set-up kangu Geto, nimlipe developer million 4 yake anikamilishe PRODUCT yangu..
Targey users kati ya population ya watu 60 Million Tz at least ni 20 Millions ni target users/market.
Katika watu 20 million Kuna wasio na smartphone, wasuokuwa tayari kulipa huduma nk so nahitaji 1% tu ya users katika hio population ambao watu 200,000 (Users).
Watu 200,000 ambao target users waweze kunilipa 2,000 Tzs kilamoja kila Mwezi (Paying Users)
So, 200,000 (Users) × 2000 Tzs
= 400,000,000/Month Revenue
Kila Mwezi tuingize Million 400 at least kutoka kwa paying users.
But, hii ni traction kubwa kwa kwa nchi especially Tz so kwa kwakuanza tutapunguza target at least 10% ya paying users 200,000 ambao ni 20,000 tu👇
20,000 users × 2000 Tzs = 20,000,000
Hi target attainable kabisa kupata paying users 20,000 ambao wanaweza kulipa kutoka na hitajio la huduma kuwa kubwa.
All target kukusanya revenue ya at least 300 Million mpaka 500 Million tu hata Kama million 200 aise itanifanya nime Elon Musk of my own😂
Developer nikashampa chake kazi zote zitaisha Geto Designers mwenyewe, Digita marker mwenyewe, Social media manager mwenyewe, Financier mwenyewe mpaka mzigo uki Scale na kunishinda kuupush mwenyewe nitatoa ajira.
😂😂😂Muombe Mchongo wa shirika utoboe wazee