Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
wadudu,
mwendo wa ngiri mkia juu,
 
1.Ubishi

2.Wala mbwa

3.mapenzi yalikozaliwa

4.kujisifia

5.ombaomba

6.wadudu

7.uvivu
 
Utakuja ujhe...mnatuuzia blauzi mnasema ni mashati.
 
Ukiona watu meno yameungua wamevaa milegezo na mabuti makubwa ujue upo chuga kwa washamba
 
Back
Top Bottom