Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Mimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.
ndoa ni taasisi hivyo wengi akili zao hazimudu changamoto za kuendesha taasisi hizi kwa ufanisi Mungu asipoingilia kati,baada ya muda kila moja atataka uhuru awe peke yake kama ilivyokuwa mwanzo
 
Semina za kikatoliki zile
Alafu boya tu kachukua wife mazima,
Nasikia ana mtoto sasa,
Unaipendaje ssa kwa mfano,
Napenda pesa sasa,haijawahi nitupa.
Hii kitu iliwai kunifikirisha sana.....
Kwamba, kasisi hajaoa na haruhusiwi kuoa, hana mke na hajakaa kwenye ndoa.
Then eti kasisi anakuja kushauri wana ndoa ama kutoa semina kwa wanna ndoa, kwakweli hili mimi niliwai kupingana nalo mbele ya Paroko.
Na nilimuuliza kwamba, kama yeye hauyo kwenye ndoa je, anawezaje kuzijua changamoto na maumivu ya wana ndoa..??
 
Swali zuri sana
 
Mnaweza kuja kirudiana kama Shishi na Rommy
Semina za kikatoliki zile
Alafu boya tu kachukua wife mazima,
Nasikia ana mtoto sasa,
Unaipendaje ssa kwa mfano,
Napenda pesa sasa,haijawahi nitupa.
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana.
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
yaanibikira tu uolewe?

Au una nini cha ziada?
 
me bwana kuhusu k nilikua nikisimuliwa kuhusu utamu wake nashindwa imagine

Ila siku kuja kukutana nayo real Kwanza nilijiona bonge la boya maana yule mse.nge nilimuhudumia sana afu kumbe hakuna maajabu
 
Professor anayefundisha maengineer na yeye ni lazima awe engineer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…