Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Pole sana.
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
Ila wee dea, nimecheka had baas khaa.
Eti boya lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
Umenifanya nicheke kwa sauti
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
Inaonekana wewe hukuwa mapepe jamaa boya sana
 
Mimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.
mkuu hebu tuelezee kilikutokea kitu gani hicho kilichokufanya uione ndoa mbaya
 
Ukiwa chuo connection kibao. Maliza sasa uone
IMG_20201225_132828.jpg
 
Back
Top Bottom