Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Mi mchumba angu kanizidi kidogo shule.....Sasa Kuna time machale huwa yananicheza cheza kishenzi[emoji848]
 
"kilimo Cha matikiti maji kina hela"
Kilicho nikuta huko shambani mpk leo sitakagi kushika jembe😔😓😓😓
 
Hii kitu iliwai kunifikirisha sana.....
Kwamba, kasisi hajaoa na haruhusiwi kuoa, hana mke na hajakaa kwenye ndoa.
Then eti kasisi anakuja kushauri wana ndoa ama kutoa semina kwa wanna ndoa, kwakweli hili mimi niliwai kupingana nalo mbele ya Paroko.
Na nilimuuliza kwamba, kama yeye hauyo kwenye ndoa je, anawezaje kuzijua changamoto na maumivu ya wana ndoa..??
Alikujibu nini
 
Wew si ndo yule alieleta uzi umu jukwaani kuhusiana na loss ya matikiti?
"kilimo Cha matikiti maji kina hela"
Kilicho nikuta huko shambani mpk leo sitakagi kushika jembe[emoji17][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Back
Top Bottom