Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
wewe ndo boya, unakubalije kuliwa kiboya boya namna hiyo, wajinga ndo waliwao.
itakuwa jamaa lilijitapa mno kula bikra na lilikufaidi haswa hilo ndo janjaro we boya tu.
 
me bwana kuhusu k nilikua nikisimuliwa kuhusu utamu wake nashindwa imagine

Ila siku kuja kukutana nayo real Kwanza nilijiona bonge la boya maana yule mse.nge nilimuhudumia sana afu kumbe hakuna maajabu
K haina cha ziada ni overated tu
 
Alisema "Ukimaliza chuo tu nipigie huku connection ninazo kibao" basi bwana nikawa navimba najua nikimaliza uhakika nakula kitengo. Aiseeee kilichokuja kutokea[emoji124][emoji124][emoji124]
Hahaha hio mara nyingi inatokea kwa wengi
 
Nilikua naambiwa mahusiano ya mapenzi ni mateso na maumivu,
Lakini kumbe tofauti, mahusiano ya mapenzi n burudani na furaha.
Nayafurahia na ku enjoy mnoooh.
Ngoja mchokane utakuja kutueleza hapa
 
Semina za kikatoliki zile
Alafu boya tu kachukua wife mazima,
Nasikia ana mtoto sasa,
Unaipendaje ssa kwa mfano,
Napenda pesa sasa,haijawahi nitupa.
Ndoa zinatesa boss ,Leo mna furaha ,kesho balaa.mara kero hii mara ile yaani ni depo tosha .ukisema uvunge hom usiende out shetani nae anampa kibari demu uliemtongoza kwenye simu kakukataa ,inaingia msg "nambie wangu". Na simu ulimpa wife ako acheze game na mtoto.Apo ndo utajua vipaji vya kuhubir ata wamama wanavyo
 
Mimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nini kilitokea mzee
 
Ndoa zinatesa boss ,Leo mna furaha ,kesho balaa.mara kero hii mara ile yaani ni depo tosha .ukisema uvunge hom usiende out shetani nae anampa kibari demu uliemtongoza kwenye simu kakukataa ,inaingia msg "nambie wangu". Na simu ulimpa wife ako acheze game na mtoto.Apo ndo utajua vipaji vya kuhubir ata wamama wanavyo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom