Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

Semina za kikatoliki zile
Alafu boya tu kachukua wife mazima,
Nasikia ana mtoto sasa,
Unaipendaje ssa kwa mfano,
Napenda pesa sasa,haijawahi nitupa.
🅿🅴🆂🅰 🅽🅸 🆁🅰🅵🅸🅺🅸 🆆🅰 🅺🆆🅴🅻🅸
 
Mimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.
Never say Never
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
Joka Jeusi...kashakupa jina ..nadhani unalijua
 
Hii kitu iliwai kunifikirisha sana.....
Kwamba, kasisi hajaoa na haruhusiwi kuoa, hana mke na hajakaa kwenye ndoa.
Then eti kasisi anakuja kushauri wana ndoa ama kutoa semina kwa wanna ndoa, kwakweli hili mimi niliwai kupingana nalo mbele ya Paroko.
Na nilimuuliza kwamba, kama yeye hauyo kwenye ndoa je, anawezaje kuzijua changamoto na maumivu ya wana ndoa..??
Changamoto kweli kweli
 
mkuu hebu tuelezee kilikutokea kitu gani hicho kilichokufanya uione ndoa mbaya
Mwenyewe unajua unaoa,kumbe wenzio wanacheza game,
Ili wapande thamani,
Unatumika kama Ngazi hivi ya Kupandia sehemu,
unajua bora hata umkute ana cheat,ila kutumika?,being USED,acha aisee
 
Alikuwa anatumikaje mkuu ambayo unaona ni zaidi ya kucheat?
 
Mimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.
Ndoa bwana inatakiwa iwe kama 2-way traffic halafu mnakutana katikati, lakini ndoa nyingi unakuta kuna mmoja wapo anamuelemea mwenzie halafu mbaya zaidi ni kwamba yule anayemuelemea mwenzie ndio wa kwanza kulalamikaga mara sijui hili mara lile yaani mambo yasiyokwisha.
Kingine ni kwamba ndoa ni kama vile wewe mme/mke umeenda showroom ukajinunulia kacorolla kako halafu baada ya siku kadhaa unailazimisha corolla iperform kama BMW kitu ambacho hakiwezekani, ungekuwa unajua unataka BMW ungeichukua kuanzia mwanzoni.
 
Doooh....Kuachana mbona kupo TU...don't dwell on resentment.
My friend Achana na Yaliopita, maumivu hutokea maishani but we move on.
Don't live in the past...Move and forget it...You may find love again and it might be the best thing that has ever happened to you.

Don't loose hope don't despair just because something went wrong.
Inawezekana kuondoka kwa huyo mwanamke Ni kheri khako kuliko Angekuwepo.

Don't look at things kwa perspective Moja TU.

All the best
This is it,I say,Never will I marry again,Never..
 
Well said mkuu
 
Doooh....Kuachana mbona kupo TU...don't dwell on resentment.
My friend Achana na Yaliopita, maumivu hutokea maishani but we move on.
Don't live in the past...Move and forget it...You may find love again and it might be the best thing that has ever happened to you.

Don't loose hope don't despair just because something went wrong.
Inawezekana kuondoka kwa huyo mwanamke Ni kheri khako kuliko Angekuwepo.

Don't look at things kwa perspective Moja TU.

All the best
Well Noted mkuu
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
Acha wadaka machozi kina sanchez tuendelee jilia neema za allah ulizojaliwa nazo
 
Nilitarajia yule mpenzi wa kwanza aliyenitoa bikra nikiwa chuo kuwa one and only man katika maisha yangu

Lakini alikuja akaniacha kabla hata ya kumaliza chuo chenyewe mammmmmmae zake boya yule
hii ndio comment bora ya Uzi hahahahaahaha
 
Back
Top Bottom