900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
ndoa ni taasisi hivyo wengi akili zao hazimudu changamoto za kuendesha taasisi hizi kwa ufanisi Mungu asipoingilia kati,baada ya muda kila moja atataka uhuru awe peke yake kama ilivyokuwa mwanzoMimi ndoa bana,
Niliifurahia mwanzoni sana,semina zake mpaka kuiishi kwa muda hivi,
Ila kwa sasa,huwa sishauri mtu Kuoa au kuolewa,
I’ll remain divorced the rest of my life,
Hii ni exclusive kabisa toka kwangu.