Kitu gani ulikifurahia maishani ukaja kukuta sivyo

[emoji23][emoji23]
Nilitarajia mwanaume atakaenitoa bikira ndiye atakayekuwa Mume wangu/baba watoto wangu...imekuwa sivyo
Alikuacha au ulimuacha
 
Mi mchumba angu kanizidi kidogo shule.....Sasa Kuna time machale huwa yananicheza cheza kishenzi[emoji848]
 
"kilimo Cha matikiti maji kina hela"
Kilicho nikuta huko shambani mpk leo sitakagi kushika jembe😔😓😓😓
 
Alikujibu nini
 
Wew si ndo yule alieleta uzi umu jukwaani kuhusiana na loss ya matikiti?
"kilimo Cha matikiti maji kina hela"
Kilicho nikuta huko shambani mpk leo sitakagi kushika jembe[emoji17][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…