Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

Umenikumbusha valentine ya mwaka 2020, Nilijitutumua nikamuandikia ujumbe babe nikamuandalia dinner.
Kilichotokea dinner asiile, kwenye simu yake amemuwish babe wake alafu akamchunia, mimi io siku nikaninuniwa.

Nikapigwa na kitu kizito kichwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh.
 
Kuna maisha nje ya mahusiano ya mapenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom