Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bango lenye picha yako analo Bwana[emoji23][emoji23]Kaz iendelee
Asantee, ipite tu hii siku.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee
Wewe unateswa na Nini kwani?[emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wanateseka na mapenzi aghaaaaa!!!
Muhimu uhai[emoji1787][emoji1787]Aiseee Mungu atakupa Mtoto?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kopa limejaaIn short this year Mahaba kwangu yamejaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh.Umenikumbusha valentine ya mwaka 2020, Nilijitutumua nikamuandikia ujumbe babe nikamuandalia dinner.
Kilichotokea dinner asiile, kwenye simu yake amemuwish babe wake alafu akamchunia, mimi io siku nikaninuniwa.
Nikapigwa na kitu kizito kichwani
Maisha gani hayo yakukaa peke ako kama Diaba[emoji23][emoji23]Kuna maisha nje ya mahusiano ya mapenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyo. Full kuenjoy yaan no stress. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha gani hayo yakukaa peke ako kama Diaba[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndyo. Full kuenjoy yaan no stress. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaowapenda wamemfanya akusahau[emoji23][emoji23]Nipo hapa nalia kwa vibration mwanaume hatoi machozi
Jaman bia tamuu
Mnooo!sina hela ningefanya kama ZamaradiKopa limejaa
Pole dearNimenuniwa
Wanaume wengine bana
Matatizo hayaishi myn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]