Simba na Yanga huwa wanamaliza mechi nje ya uwanja. Nilikuwa nakataa kata kata!Kwema wakuu,
Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli.
Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
kumbe ni mapichapicha tu.Nilijua ukioa unakua unaichapa kila siku,muda wowote tu,
Kumbe kuna kuiomba tena!
duuh hebu tuambie mkuu ilikuwaje?Mimi nilijua hapa JF wote ni ndugu japo hatujuani hivyo hauwezi kutapeliwa. Ni mpaka nilichokutana nacho juzi.
Sikuamini macho yangu
Utapeli ni mwingi sana humu jukwaani, usijiamini hata wewe maana una ID fakeduuh hebu tuambie mkuu ilikuwaje?
maana hata mim huwa nahsi kaharufu ka utaperi sema huwa na escape
Sema hiyo username yako mkuu inanipa mawazo sana, kiukweli unazingua sana mkuuNilipoambiwa shughuli za uchimbaji wa madini unaenda sambamba na ushirikina nilibisha katu katu ila baadaye nikajionea mwenyewe.
Nashinda kwa knock out.hahahaha tuwaandalie nyeto awards malegendary.
ukumbi uwe mliman city
wachimba madin mayai vinza na kuku weupe pe na jogoo singamagaj. Ni diri kwaoNilipoambiwa shughuli za uchimbaji wa madini unaenda sambamba na ushirikina nilibisha katu katu ila baadaye nikajionea mwenyewe.
kwel mkuuMimi nilijua hapa JF wote ni ndugu japo hatujuani hivyo hauwezi kutapeliwa. Ni mpaka nilichokutana nacho juzi.
Sikuamini macho yangu
Utapeli ni mwingi sana humu jukwaani, usijiamini hata wewe maana una ID fake
maneno yasiwe meng tuzo tutaiandaa, na mwenzio Mbaga Jr anakuzoom tu, mgen rasim atakuwa mama yetu kipenzi daktari... Atashuhudia mshindi wa NYETO AWARDS MOTIVATOR akipokea tuzo hiyoNashinda kwa knock out.
take it easy.usijari mjomba nivijimambo tu..sio wote wanaova makoti meupe ni madaktari.Sema hiyo username yako mkuu inanipa mawazo sana, kiukweli unazingua sana mkuu
Tufanya wewe unauwezo wa kupiga nyeto kunizidi humu jukwaani ili roho yako ifurahi, ila moyoni mwako unajua kuwa Mimi ni faya katika tasnia ya nyeto.Dogo, kuanza kupiga nyeto kwa kuchomeka kwenye cement tayar ushaanza dharau 😔