Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Hao ni Influencer wa nyeto tu, siku hizi hamna wapiga nyeto kuna wanaojipapasa....nyakati zetu uboyzn tulikua tunapiga nyeto mpaka ukiona povu tu mwili unasisimka.
Mkuu, umeshau tulipokuwa tunashindana kupiga nyeto chini ya ule mti karibu na dinning?

Nimesikitika mno kaka kwa kushindwa kutambua mchango wangu katika tasnia ya nyeto.
 
Nyeto haiathiri nguvu za kiume sema tu kuna wengine wamezaliwa na changamoto zao wanaona pa kufia ni kwenye nyeto na pia wauzaji wa mitishamba wanawadanganya.

Ukizaliwa upo vizuri utakua vizuri tu.
afu wauza madawa nishawagundua huwa wanatumia mbinu ya kumtia hofu mtu. Na kujiona anapelea.

Anajikuta ata akienda na dem hajiamin kama ataweza na ndo hawez kwel kutokana na uoga kichwan
 
Back
Top Bottom