Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Hahah.... Nimejaribu kuvuta picha, najikuta nacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda kusali kanisa flani K.K.K.T bas wakat wa mnada yule bwana anataje bei alafu kuna jamaa (nilikuja gundua badae ana ulemavu wa akili) akawa anapandisha bei balaa mi nikawa nashangaa (na kucheka) mbona inatoka buku hadi elfu 40 huyu jamaa atakuwa na mkwanja

Pia dodoma nilipanda daladala na mlevi flani konda anasema posta iyo jamaa anasema hakuna mtu, chako n chako jamaa hakuna mtu hadi basi mie nilikuwa nacheka sana maana kuna watu walipitilizwa vituo kwa upuuzi wa mlevi
 
Kwny kipindi cha jamaa anaitwa kuchere nadhani wa ETV jamaa alimuuliza mpita njia neno MUBASHARA maana yake ni nini?

Mchizi akajibu ni"KAMA CHAKULA FLANI KITAMU KITAMU HIVI",hahah
Huyu Jamaa(Kwachee) anakipaji kizuri sana...ETV

Huwa nikipata muda nakitazama kipindi chake.

Ikifika Sehemu ya kuchemsha bongo za Watanzania basi huwa ni kazi kweli kweli kama sio kizaazaa.

Kuna jamaa aliulizwa;

Nini maana ya Kipawa..???

Jamaa:Kipawa ni chombo/kitu kinachutumika kupakuwa mboga au chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol,lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo umemwambia maji yapo afu kumbe hakuna maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifananisha upawa na kipawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja tumekaa hoteli moja,mtu mmoja akaagiza supu ya mushrooms ,akaisifia nzuri kweli tulikuwa watatu,basi muda umefika mhudumu akaleta vibakuli vitatu vina maji ya moto n kipande cha limao,mi moyoni nikaguna "jamani hii ndio supu ya mushrooms mbona maji tupu na kipande cha limao,,ikabidi niseme kwa nguvu kuwa mimi sijaagiza supu jameni[emoji23][emoji23][emoji23] walicheka jamani nami nilichekaa mmoja akaniambia haya ni maji ya kunawa [emoji23][emoji23] ,nikasema jamani ndio kwenye tubakuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],siku hizi nikienda nimezoea nanawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa flan mtangazaji kwenye channel flan hivi YouTube sasa alikua akipita mtaani kuuliza watu kuhusu oxygen...kama 'umeshawahi kuvuta oxygen'? Sasa wengine wanasema sijawahi kuvuta kabisa oxygen na wala sitajaribu' sasa kuna mzee mmoja yeye aliongea huku amepaniki kabisa et 'yan nawashauri vijana waachane na tabia ya kuvuta oxygen wanazidi kuongeza umaskini hapa nchini naomba serikali ilione hili swala'
Basi nilicheka balaa na huwa nikikumbuka najikuta naachia bonge lΓ  chekoo [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanawa afu unakunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mpaka nimelia!
 
Haahhahaah rusha basi hii video hapa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna nyingine anauliza kuwa ukimkuta mmeo /mkeo ana white blood cell utafanyaje aisee majibu yake nilicheka mno ina maanaap watu washasahau mno au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…