King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bongo Movie ya Makontena feki ya BASHITE ilivyomuibua leo "DIRECTOR" nimecheka sana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa ndio nimetoka kubalehe mkuu halaf bahat mbaya nilianza kudinyana na mdada mkubwa aliyenizid umri of coz ndio alinifundisha, kwahyo ile nauona uchi wake ulivyokaa tu maana alinivulia nguo then akasimama mbele yangu huku anatanua miguu nakunisogelea dah mie nkabaki kucheka huku ananoshika mkuyenge kicheko kinaisha maana ikawa ni kugegedana
Kati ya siki magu kanifurahisha ni leo aiseeBongo Movie ya Makontena feki ya BASHITE ilivyomuibua leo "DIRECTOR" nimecheka sana!!!
MuoneNilikuwa ndio nimetoka kubalehe mkuu halaf bahat mbaya nilianza kudinyana na mdada mkubwa aliyenizid umri of coz ndio alinifundisha, kwahyo ile nauona uchi wake ulivyokaa tu maana alinivulia nguo then akasimama mbele yangu huku anatanua miguu nakunisogelea dah mie nkabaki kucheka huku ananoshika mkuyenge kicheko kinaisha maana ikawa ni kugegedana
Ile ya ulaya weweeee [emoji23][emoji23][emoji23]Tembeleaga page ya TheShadeRoom insta utacheka comments za watu. Wanaandikaga ujinga sijawahi ona duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh.. nasomaga comments tu kule nashangaa hawa watu wana akili gani kuandika hivi..Ile ya ulaya weweeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namfatiliaga 50 cent ana vituko sana
Siku hizi inanifurahisha
Ahahhaahah ntafatilia tenaEeeh.. nasomaga comments tu kule nashangaa hawa watu wana akili gani kuandika hivi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kama kweli unataka usiwe mtu wa kuchekacheka nenda kwenye mazoezi ya ngumi, nakuhakikishia hutochekacheka hovyo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila kama kweli unataka usiwe mtu wa kuchekacheka nenda kwenye mazoezi ya ngumi, nakuhakikishia hutochekacheka hovyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila kama kweli unataka usiwe mtu wa kuchekacheka nenda kwenye mazoezi ya ngumi, nakuhakikishia hutochekacheka hovyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Nilicheka sana siku moja Niko home,,mdogo wangu wa kiume kila akirudi home anaongea na dem wake anamuliza umepata?? Kila siku
Siku hiyo amefika ,anamuuliza umepata? Mama akajibu nimepataaaa
(Alikua kumbe anamtumia vocha kila siku ila mamake walaaaaa hamnunulii) tangia siku hiyo naskia hajauliza tena
2. Kuna siku Niko mahali nasuka nyumbani kwa MTU(msusi) ana mtoto mdogo kama mkaka mitatu hivi,, mume wake akawa anaondoka,mtoto akamwambia mamake,,mama baba ndo anaondoka ivo. Sio akiondoka ndo unaanza kulalamika hajaacha hela,,nilicheka kwa mshangao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna Demu tulisoma wote alikuwa ni Mremboooo! Kumbe Mdomoni Ana meno kama ya Mbuzi {Mipengo} Siku moja Akajisahau Akacheka kwa Kupanua Domo Si Ndiyo nikaona ile Mipengo Nilicheka bila kujua nipo Class Mpaka Nikatolewa nje na Bado niliendelea kucheka Kila nikimuona yaani urembo wote ule Kumbe Mdomo yupo kama Mbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app