Namna hiyooπHapana, hakuna kuandika.
πππππ Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo πππππππUnaona sasa wewe si umetoka kuniambia niseme utanisaidia?
Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.Bia aisee huwa nikinywa napata amani sana ya roho, sijui kama ntakuja kuacha
Badoooo...Pombe nimeacha miaka Sasa
Mabibi wa nje mwaka wa Saba huu.
Hakuna kusichowezekana.
Yale yaleAcha pombe, baki na wine
Sanaa, ππ. Kukosa kazi si mchezo mtu anaweza kusoma comments zangu zote 7000 ndio apate pa kuanzia.Upimbi ni mwingi humu.
Si ni bora mninyonge tu kuliko nikaandika hiyo kituππandika tu tutasoma kimya kimya
Kiufupi wewe huwezi kusahau ???Nikiwa nakuona nakumbuka ulichofanya
Naanza upya kukuona phalla ππ
Wine sio pombe PBπYale yale
Jingaa kweliπππππππ Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo πππππππ
Kipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.Badoooo...
Kuna kimoja ujasema πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kawaida, tena tunadance kabisa
Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu πππππππππππMimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.
Huwa nafanya hivyo, nina miaka ya kunywa na miaka ya kutokunywa, mara nyingine nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.
Huu ni mwaka wa kutokunywa.
πππ umescore vyema.Kiufupi wewe huwezi kusahau ???
Na unakaa na vitu kwa mtima..πππ
Hiyo kitu ni shida asikwambie mtuππNyeto mazeee....
Wine ni pombeWine sio pombe PBπ
Yaaani wewe tunakubana hivi hivi mpaka useme an πππππππKipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.
Nakuelewa, napenda pia kiporo Cha wali maharagwe ila kinaleta unene...Kiporo cha wali na maharage asubuhi,
Iwe na chai ya rangi au maziwa
halafu upashe maharage yapate moto kidogo uyamwage kwenye hoti poti la wali ni hatariiiii