Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Namna hiyoo๐Hapana, hakuna kuandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiyoo๐Hapana, hakuna kuandika.
๐๐๐๐๐ Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo ๐๐๐๐๐๐๐Unaona sasa wewe si umetoka kuniambia niseme utanisaidia?
Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.Bia aisee huwa nikinywa napata amani sana ya roho, sijui kama ntakuja kuacha
Badoooo...Pombe nimeacha miaka Sasa
Mabibi wa nje mwaka wa Saba huu.
Hakuna kusichowezekana.
Yale yaleAcha pombe, baki na wine
Sanaa, ๐๐. Kukosa kazi si mchezo mtu anaweza kusoma comments zangu zote 7000 ndio apate pa kuanzia.Upimbi ni mwingi humu.
Si ni bora mninyonge tu kuliko nikaandika hiyo kitu๐๐andika tu tutasoma kimya kimya
Kiufupi wewe huwezi kusahau ???Nikiwa nakuona nakumbuka ulichofanya
Naanza upya kukuona phalla ๐๐
Wine sio pombe PB๐Yale yale
Jingaa kweli๐๐๐๐๐๐๐ Usiseme nilikua sijui kama ndo mambo yenyewe hayo ๐๐๐๐๐๐๐
Kipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.Badoooo...
Kuna kimoja ujasema ๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kawaida, tena tunadance kabisa
Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.
Huwa nafanya hivyo, nina miaka ya kunywa na miaka ya kutokunywa, mara nyingine nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.
Huu ni mwaka wa kutokunywa.
๐๐๐ umescore vyema.Kiufupi wewe huwezi kusahau ???
Na unakaa na vitu kwa mtima..๐๐๐
Hiyo kitu ni shida asikwambie mtu๐๐Nyeto mazeee....
Wine ni pombeWine sio pombe PB๐
Yaaani wewe tunakubana hivi hivi mpaka useme an ๐๐๐๐๐๐๐Kipi Kaka? Au SIGARA? Sijatumia madawa ya kulevya, sijawahi kujiunga chaputa. Sio mwizi wa pesa za umma.
Nakuelewa, napenda pia kiporo Cha wali maharagwe ila kinaleta unene...Kiporo cha wali na maharage asubuhi,
Iwe na chai ya rangi au maziwa
halafu upashe maharage yapate moto kidogo uyamwage kwenye hoti poti la wali ni hatariiiii