Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Bia aisee huwa nikinywa napata amani sana ya roho, sijui kama ntakuja kuacha
Mimi nimeacha kunywa pombe tangu tarehe moja Januari 2024. Nina bia kwenye friji, nina Scotch Whisky, nina wine na Champagne, lakini naziangalia tu, nimegoma kunywa pombe mwaka huu.

Huwa nafanya hivyo, nina miaka ya kunywa na miaka ya kutokunywa, mara nyingine nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.

Huu ni mwaka wa kutokunywa.
 
Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Back
Top Bottom