Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Sijaacha kwa sababu ni haram wala dhambi, nimeacha kwa sababu nataka kujua kwamba nikitaka kuacha naweza, naitawala pombe, pombe hainitawali.
 
Kama umefanikiwa kuacha nyeto basi hayo mengine ni uamuzi tu.
 
Msifanye hivyo jamani
Kama kunywa pombe ni dhambi,wataouona ufalme wa MUNGU ni wachache sana,yan wabongo wanakunywa pombe aisee nilifanya kautafiti kidogo mbeya,njombe,mwanza,dar ndo balaa kubwa,Moshi,arusha n.k si mijini wala vijijini watu wanakula ugimbi,ulanzi,mbege,wanzuki,master n.k,wine nayo ni pombe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…