Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Au nido 🤣🤣Kudokoa sukari..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au nido 🤣🤣Kudokoa sukari..
Sijaacha kwa sababu ni haram wala dhambi, nimeacha kwa sababu nataka kujua kwamba nikitaka kuacha naweza, naitawala pombe, pombe hainitawali.Bora ulivo acha maana pombe ni haram pia ni dhambi... Bora umelijua hilo mkuu 🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏
Msifanye hivyo jamaniWine ni pombe
Yaani ni yale yale.... Tofauti ni alcohol percentage tuu 🙌🙌🙌😂😂😂Wine sio pombe PB😂
Kama umefanikiwa kuacha nyeto basi hayo mengine ni uamuzi tu.Nyeto nilifanikiwa kuacha .....ila nilivyoacha nyeto jamani akaingia shetani wa wauza nyapu na pombe...aisee,yan huyo ndo amekuwa shetani mbaya sijawahi kuona,ila wauza nyapu naamini naweza kuacha,lakini pombe ndo imeshindikana kabisa yan hiyo imefika hadi kwa watume wa Jiji la dar lakini wapiiii...Ngoma ngumu,amini kuacha pombe ni kazi jamani yan sijui kwa nn!!
Hapo unakuwa umepiga kwenye mfupa, so anasaka pa kupunguzia uchungu 😂😂Sanaa, 😂😂. Kukosa kazi si mchezo mtu anaweza kusoma comments zangu zote 7000 ndio apate pa kuanzia.
Nini thatha... 😂😂😂😂Jingaa kweli😏😏
Uvinza niliacha kwenda miaka kumi na nne iliyopita.Yaaani wewe tunakubana hivi hivi mpaka useme an 😂😂😂😂😂😂😂
Roho mbaya tu 😂😂😂😂😂😂😂😂 umescore vyema.
Kila mtu akule attitude yake
Muulize pacha wako 🤣🤣🤣Msaada;
Nataka kuiacha JF. Haki ya Mungu sitanii..
Naanzaje?
Muombe akundikie Muhtasari. Uniletee niurejee.Muulize pacha wako 🤣🤣🤣
Kama kunywa pombe ni dhambi,wataouona ufalme wa MUNGU ni wachache sana,yan wabongo wanakunywa pombe aisee nilifanya kautafiti kidogo mbeya,njombe,mwanza,dar ndo balaa kubwa,Moshi,arusha n.k si mijini wala vijijini watu wanakula ugimbi,ulanzi,mbege,wanzuki,master n.k,wine nayo ni pombe...Msifanye hivyo jamani
Uvinza niliacha kwenda miaka kumi na nne iliyopita.
Weee jamaa mi nacheka tuu...😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Mi nashindwa kuacha kukupenda.Nashindwa kuacha kunywa wine… naweza pumzika mwezi 1/2/3 , ila ghafla tu natupia chupa 2 nzima.
😂😂😂 sawa, sahii hayupo tena. Akirejea basiMuombe akundikie Muhtasari. Uniletee niurejee.