Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Una akili za kitoto sana! Unapendaga ma-toy ya aina gani?!

Vigari, midoli au mjegejo?! ๐Ÿค”
 
Sijaacha kwa sababu ni haram wala dhambi, nimeacha kwa sababu nataka kujua kwamba nikitaka kuacha naweza, naitawala pombe, pombe hainitawali.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Daaah sawa sawa mkuu... ๐Ÿ‘Š๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Kingine.
On a very serious note.
Nimeshindwa kuacha kutafuna mcheleโ€ฆ. Nishatishiwa sana kwamba nitakuja kupata appendex, ila sijawahi kusikia.
๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” kuna mchele unaitwa Korie ni mlaini, basi naweza tafuna mwingiii.

Nikajikataza kuununua. Nikahamia magugu rice, wenyewe ni mgumu kutafuna mpk uloweke.

Natokaje? ๐Ÿ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ