Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

utoto.. jana tu nimemng'ata king'asti wangu pua ye akakimbilia kutaka kunibinya korodani!,nikamkweka akawa amenikosa akaniacha..
usiku nimelala nimejisahau akayakamata akanibinya mpaka nikatoa machozi!.. tukayajenga yakaisha ile kapitiwa usingizi nikamvizia nikamng'ata tena pua aliamka chapchap huku mkono wake wakuume ukikimbilia tena korodani na vile ilikuwa tumezima taa nilishangaa tu tayari matunza upwiru yangu yameshashikwa yanakamuliwa!.. nilipiga welelo majirani wakatoka!
kesi kama hii unawaelezeaje majirani...?!!
Una akili za kitoto sana! Unapendaga ma-toy ya aina gani?!

Vigari, midoli au mjegejo?! 🤔
 
Sijaacha kwa sababu ni haram wala dhambi, nimeacha kwa sababu nataka kujua kwamba nikitaka kuacha naweza, naitawala pombe, pombe hainitawali.
😂😂😂😂😂😂 Daaah sawa sawa mkuu... 👊🙌🙌🙌🙌🙌
 
Kingine.
On a very serious note.
Nimeshindwa kuacha kutafuna mchele…. Nishatishiwa sana kwamba nitakuja kupata appendex, ila sijawahi kusikia.
😔😔 kuna mchele unaitwa Korie ni mlaini, basi naweza tafuna mwingiii.

Nikajikataza kuununua. Nikahamia magugu rice, wenyewe ni mgumu kutafuna mpk uloweke.

Natokaje? 😒
 
Back
Top Bottom