Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Penzi lako lina nyuzi joto kama za mji wa Khartoum nchini Sudan,,,kula maisha Madam,,,kama mkihitaji uwekazaji kama wa bandari wa wakuongeza au kupunguza jotoridi katika penzi lenu tuwasiliane,, kama hamtojali lakini!!!
🤣🤣🤣🤣Ngoja nilitumie muda huu kabla halijachujuka😶
 
Back
Top Bottom