Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu....we bhana Weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest....Yaan nimepitiliza kama ni temperature bas imekuwa 45 C.

NB:Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Nikukosoe kidogo unajua watu wengine wameshakuaga ma monster 💀💀💀💀

Yaan mtu akifikia hio Hali yaan uwepo au kuto kuwepo kwenye maisha yake kwake sio issue.............

Tujifunze kujipenda wenyewe na ku Let it Go....
 
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu....we bhana Weee[emoji3525] ndo nimejikuta nimependa toppest....Yaan nimepitiliza kama ni temperature bas imekuwa 45 C.

NB:Najua tutaachana[emoji849] maana hamkawii[emoji855]
Hujui kupenda ww ndio maana unaachwa!!
 
New year resolution ya kukaa mwaka mzima bila kunywa pombe! Namaliza tu January, February kwenye tarehe 15 nisharudi kwenye chama tena narudi Kwa kasi ya ajabu! Nishaaja kujiapiza
 
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee[emoji3525] ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana[emoji849] maana hamkawii[emoji855]
Jiandae kupigwa na kitu kizito.
 
Back
Top Bottom