Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Nilijiapiza sitomla mpangaji wangu hata kama alikuwa ananitega leo hii naandika sms hii hajalipa kodi mwezi wa saba unaenda.
NAJUTA MBWA MIMI.
🤣🤣🤣🤣Mfukuze,kwani kitu gani? Anakupa hasara huyo
 
Sasa unampenda mtu ukijua anakucheat au mtaachana sa wamlenda wa nini??

Mimi nampenda kabla ya kula tunda tu, kwakweli ukimla upendo unapungua sana.
 
Back
Top Bottom