Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee[emoji3525] ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana[emoji849] maana hamkawii[emoji855]

Kupeleka kwenye njia ingine[emoji1784]
 
Kuna manzi nilijiapiza sitamtomber tenah cha ajab juzi kati hamad huyu hapa! alivo na mapepo akanambia yaani wewe ndo umeamua kunisusia hivo; lakin wanaume ndivo mlivo mkishafunua mnakimbia haya bwana__ kale kasauti tu ngoma ikaenda mnara tunapanga apointment jana nimebutua tena🤔
 
Kununua nyama 😄😄 ila sa hv nmeacha nna miez 10 sijanunua nyama na nimeajiapza stonunua tena jaookua upwiru unasumbua sana sa hv n mwendo wa kutngza tu😁😄😁
 
Sasa nifanyeje hapa? Au nifungue uzi wa kuomba msaada? Ila hii aibu hii jaman [emoji16][emoji16]
No kaza,utaweza... kikubwa pata mpenz mpenda mizagamuo...akupee daily
 
Back
Top Bottom