Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Niliapa kukaa na mwanamke mmoja kwasasa lakini nikikatiza tu road namba maelekezo piru sasa hivi mtaa mzima nimekalisha hakuna demu sijamvutia wire
 
Nilijiapiza kuacha ngono zembe, lakini kila mara narudia yaleyale.
 
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Hongera kwa aliyependwa,to the toppest
 
Back
Top Bottom