Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Wewe ushawahi kufanyia utafiti uchawi na ukapata majibu ya kuwa uchawi kiuhalisia haupo?
Ndio...sleep paralysis...jinamizi. imenitokea first hand na watu wengi husema sijui jini linakukaba mpaka umtaje Yesu sijui Allah. Ila in real sense ni concept ya biology inayohusisha brain, nervous system na muscles. Ndo maana nasema una mitandao vitabu watu wenye elimu mbalimbali, tafuta majibu yanayoeleweka sio kila kitu ambacho huelewi unasema tu ni uchawi...it's too easy
 
😁 upo sehemu gani mkuu
 
[emoji1787]Dunia si moja kwa Nini ukutane nayo wewe tu. Kuna mtu anabisha marekani haipo, wengi hatujaenda lakini hatubishi kama ipo. Same to tigers, hawapo mbuga zetu ila hatusemi hawapo.
Una uhakika vitu vyote ambavyo umekutana navyo wewe kila mtu kakutana navyo?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
🤣Una dunia yako kwa hiyo
 
Jaribu kuwa muelewa hakuna naposema mafanikio ni uchawi tu au uchawi lazima uhusike.

Mbali na uchawi mimi nakubaliana na yote ambayo yanahusu kufanikiwa au kutofanikiwa ila tofauti yako wewe hapa unatumia nguvu kupinga uchawi kuwa nao wakati mwengine waweza kutumika kama sehemu yenye kuhusika na mafanikio, halafu hauna sababu za msingi yani kisa tu hauamini uchawi basi.
 
[emoji1787]We si ulete ushahidi unaoeleweka. Tanzania kila mtu anasimu..Hadi ajali ikitokea siku hizi unaweza pata hata video. We mbona vitu vyako unaona mwenyewe
Nmekwambia nenda maeneo ya wavuvi kanda ya ziwa utajionea mwenyewe kwanini unataka simulizi mwisho wa siku unaita watu waongo , finally kuna vitu vya kunitoa jasho ila sio kulazimisha mtu anielewe wewe baki na mtazamo wako sababu sipati chochote ukielewa wala sipungikiwi chochote usipo elewa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
unajuwa sayansi isikuwekee ukomo,kuna mambo ambayo sayansi haiwezi kubadilisha wala kuprove
🤣🤣🤣Kama Nini? Wewe uchawi usikuweke ukomo. Ungeamini mauchawi si usingeenda shule, ungeenda kwa hao waganga kwa ajili ya elimu, kwa ajili ya sawa ukiumwa, mbona unatumia Simu si Sayansi hio, mbona una chanjo kibao mwilini si Sayansi hio...amini mauchawi yako tuone ka utamaliza siku. Sisi sio watu wa porini.
 
🤣Mi nakusaidia wewe Sasa. Kwa sababu ubongo wako umejaa maujinga, mi sioni faida ya wewe kuendelea na dhana potofu ambazo miaka nenda Rudi zimekuwa proven to be wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…