Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Uchawi upo lakn sio tunavyo elezea.Uchawi kutumia maarifa yasiyo ya kisanyansi ,kwa lengo kutoa msaada, ila unazuru bila kujua. Uchawi ni ukosefu elimu ya sanyansi. Mtu huwezi kupaa na upo,uongo physics inakataa
Hata Yesu kutembea juu ya maji fizikia inakataa, Musa kugawa bahari sayans inagoma pia. Kufunga siku 40 bila kula kunywa chochote sayans inagoma. Yesu kupazwa angani inakataa pia. Aloo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Labda nikwambie kwamba kuna upande mwingine wa dunia hauja wahi kukutana nao so sikushangai

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣Dunia si moja kwa Nini ukutane nayo wewe tu. Kuna mtu anabisha marekani haipo, wengi hatujaenda lakini hatubishi kama ipo. Same to tigers, hawapo mbuga zetu ila hatusemi hawapo.
 
mimi niliona uchawi upo shule.. kulikua na mchupi mkubwa sana unaanikwa ijumaa kila tukitegea tuone anaeuanua tunamkosa

Siku moja bweni zima la SAMORA MACHEL tukasema hatulali mpaka tumuone anaeanua
Hauwezi amini sote tulipigwa na usingizi mzito wa pono
Mpaka namaliza shule pale Ile chup hatukujua ya nani
Ukiitazama sana mwili unasisimka
SIJUI LILIKUA CHUPI LA JINI SIZE YENYEWE TU HAIKUA YA KIBINADAM
🤣🤣🤣🤣🤣Aaah kmk, si mmelala, Sasa usingizi ni uchawi jamani..story zingine bana
 
Nyingine
Ilikuwa mwaka 2011 sehemu inaitwa Kihanda tulikuwa Camp......kila jioni tulienda kijijini kunywa komoni.
Sasa jioni moja tukakuta ugomvi ng'ombe zimekula mahindi....na mwenye ng"ombe kwa. Sababu ana uwezo kiuchumi akawatuliza viongozi na mwenye shamba hakulipwa kitu.
Kwa kifupi......kesho yake ngombe wote walipigwa na radi.
🤣🤣🤣🤣Oa hii story umesoma kitabu gani
 
Tunahitaji mtu ambaye ni notable na fame.
Mfano elon musk, adam d angelo,phil knight, aiko dangote larry ellison, larry pages

au watu kama diamond, alikiba, harmonize, na wengine wengi ambao wote wamefanikiwa kwa kufanya kazi
Mimi ukiniletea mtu yoyote anayejulikana hafanyi KAZI na ana pesa na anafahamika nipo tayari kukubaliana na wewe kwa asilimia zote.
Kwanza kuwa tu na pesa sio kufanikiwa kwa sababu pesa unaweza ukarithi au ukapewa tu nawe ukawa na pesa, mafanikio ni matokeo na hupatikana kutoka kwenye ulichokifanya.

Sasa wewe unachokuzungumzia ni kumiliki pesa kichawi bila kufanya kazi wakati wenzako wanazungumzia mtu kufanikiwa kwenye shughuli zake kwa msaada wa uchawi. Sasa wewe unapinga huo uchawi na kusema kazi tu pekee ndio huleta mafanikio ila umeshindwa kujibu kwanini wengine hawafanikiwi kwenye kazi zao pamoja na kufanya kazi kwa kanuni na juhudi kama wengine wanaofanikiwa?

Ndio maana nikasema kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufanya kazi kwa kanuni na juhudi, kusema hivyo sina maana ya kwamba kila aliyefanikiwa alifanya uchawi ila lazima tukubaliane kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufanya kazi kwa kanuni na juhudi tu.

Kwahiyo wapo watu wamefanikuwa kwa juhudi tu zao na wapo wamefeli pamoja na juhudi zao. Ndio maana kuna wasanii hawafanikiwi pamoja na kufanya vizuri zaidi ya hao wengine ambao wamefanikiwa na hapo ndipo hutumika misemo kuwa "yule hana bahati na yule nyota yake inang'aa" ni kwa sababu kama hizo kwamba mtu anafanya kazi vizuri na juhudi ila hapati mafanikio.
 
sentensi yako ya kwanza kuwa na pesa tu siyo kufanikiwa tunatazama source ya hiyo pesa ilipotokea na siyo aliyepewa kama madai yako unavyodai unaweza kurithishwa.

Gullamabas dewji alistep out na kumuachia mwanae kampuni ikiwa na thamani ya $30M hapa tunasema mo karithishwa lakini chanzo cha hizo pesa zimetokana na juhudi ya baba hivyo msingi mkuu ni kazi na

2018 anatajwa kama sbillionaire mwenye $1.5B hapa tunam term mo kama tajiri maana kafanya kazi kuzalisha pesa aliyoachiwa na huko kote unaona ni kazi tu.

Halafu unasema wapo wanaofanikiwa pamoja na juhudi zao nilikuambia siwezi go in deep sijafika hizo level ILA mafanikio yanahitaji commitment, discipline and consistency kitu ambacho wengi hatuwezi kuvumilia na tunaishia njiani.

Huwezi kusema wanaofanikiwa wanatumia uchawi kwenye kazi zao hapo unakuwa ushajicontradict sababu huwezi thibitisha zaidi ya kusikia stori za vijiweni tu.

Lete mtu aliyefanikiwa kwa uchawi tunayemfahamu.
 
🤣🤣🤣Umeona sasa...huo ujinga wako ndo unakufanya uone uchawi. Mbona wenzetu walioendelea hawakai kufikiria mauchawi, ni WA Africa tu Tena wenye maisha duni coz hamna elimu. Ukishajua biology huwezi amini uchawi. Ushawahi ona doctor anaamini uchawi. Vitu vingine fuatilieni bac ni Sayansi ya ubongo tu
Na hilo ndio tatizo lenu mnapolinganisha huko kwengine(wazungu) na afrika kwenye masuala ya uchawi, huko kwa wazungu wanaojihusisha na uchawi ni wachache hivyo imani za uchawi lazima iwe hazina nafasi sana tofauti na afrika. Lakini haina maana kuwa hao wasomi(wazungu) hakuna imani za kichawi kabisa, vipo vitabu kibao ambavyo hao wasomi(wazungu) wanazungumzia na kufundisha uchawi na imani zengine na ni watu waliyoenda shule.

Kama utataka sema nikutajie baadhi ya vitabu vyao ukasome jinsi wenzetu wanavyoelezea kama huo uchawi tena kwa uelewa mpana kama watu wenye elimu tofauti na sisi.
 
🤣Toa mfano leta data zenye uthibitisho sio unaongea kwa hisia..acha fikra za kimaskini...fanya kazi maisha yako yote ndo utafanikiwa. Acha wivu kwa watu, uchawi haupo, ungekuwepo na ungekuwa na maendeleo si kila

🤣🤣🤣Umeona sasa...huo ujinga wako ndo unakufanya uone uchawi. Mbona wenzetu walioendelea hawakai kufikiria mauchawi, ni WA Africa tu Tena wenye maisha duni coz hamna elimu. Ukishajua biology huwezi amini uchawi. Ushawahi ona doctor anaamini uchawi. Vitu vingine fuatilieni bac ni Sayansi ya ubongo tu
jamaa hakulazimishi uamini uchawi, anakupa tips, we bado upo level 1, wanaposema kua uyaone sio maghorofa
 
sentensi yako ya kwanza kuwa na pesa tu siyo kufanikiwa tunatazama source ya hiyo pesa ilipotokea na siyo aliyepewa kama madai yako unavyodai unaweza kurithishwa.

Gullamabas dewji alistep out na kumuachia mwanae kampuni ikiwa na thamani ya $30M hapa tunasema mo karithishwa lakini chanzo cha hizo pesa zimetokana na juhudi ya baba hivyo msingi mkuu ni kazi na

2018 anatajwa kama sbillionaire mwenye $1.5B hapa tunam term mo kama tajiri maana kafanya kazi kuzalisha pesa aliyoachiwa na huko kote unaona ni kazi tu.

Halafu unasema wapo wanaofanikiwa pamoja na juhudi zao nilikuambia siwezi go in deep sijafika hizo level ILA mafanikio yanahitaji commitment, discipline and consistency kitu ambacho wengi hatuwezi kuvumilia na tunaishia njiani.

Huwezi kusema wanaofanikiwa wanatumia uchawi kwenye kazi zao hapo unakuwa ushajicontradict sababu huwezi thibitisha zaidi ya kusikia stori za vijiweni tu.

Lete mtu aliyefanikiwa kwa uchawi tunayemfahamu.
Hebu kwanza niambie msimamo wako ni upi ili nijue unachosimamia hasa ni kipi?

Kwa sababu naona unatumia tu mifano ya watu waliyofanikiwa nakutaka tuone ni kwa sababu ya kufanya kwao kazi kwa kanuni na juhudi ila unakwepa kuzungumzia wasiofanikiwa katika shughuli zao pamoja na kufanya kazi sawa sawa au zaidi ya hao waliyofanikiwa.

Unaposema haujafika hizo level ni level zipi unazokusudia?
 
Back
Top Bottom