Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ndege ilivyo nzito vile halafu eti inapaa angani hakuna sayansi sijui physics yoyote pale. Wazungu wachawi sana mama yake.
 
🤣🤣Story nyingine bana...skia si watu wazima mjue
 
Walichunguza vp unaweza ukaelezea? Hata Arabuni kuna nchi ukigundulika unajihusisha na uchawi ni kosa kisheria unahukumiwa na hiyo si kwa sababu wanaona uchawi si kweli.
Niambie kitu ambacho unasema ni uchawi nikuonyeshe kwamba it isn't
 
Sawa mi sio mwanasayansi...niambie uvumbuzi wowote ambao umesababishwa na nguvu ya kichawi
 
SimbaMpole123 njoo utupe evidence ya sayansi ya kwako, achana na sayansi ya ulaya ambayo unashadadia uhalisia bila kujua chimbuko
Mi Sayansi yangu ni ya reason. Sayansi sio kutengeneza rocket tu. Sayansi ni process ya kutafuta majibu ya maswali kupitia empirical methods of knowledge. Na zipo nyingi sio lazma niingie maabara. Soma general studies au geography utaelewa
 
Wakati camera zinazimwa ili jamaa aingie hao audience walienda wapi???

Horror ni movie hii inayofanyika kwenye stage kama unaiona ni movie na hujajisumbua nikudhihirishie huo sasa ndo uchawi

Hujataka kuprove kama ni ukweli au uongo umekimbilia kuconclude kwamba aliingia mtu kwenye box kwasababu kikawaida haiwezekani
 
Ndio maana nikakwambia nikutajie vitabu vya wazungu vyenye kuelezea uchawi na mambo mengine ambayo wewe huyaamini kisha uniambie kuwa hao waliyoandika hivyo vitabu ni katika hao wazungu wachache wasio na elimu au wana elimu?
Ndio ..kwani wazungu si walituletea dini kututawala Ila now ndo wanaongoza kutoamini dini ..wenzetu wakipata elimu wanabadilika, sisi tunakazania utamaduni ambao hautusaidii chochote
 
Sawa, science tells us a lot about cellular damage but has nothing to do with cellular damage, why? Means kuna higher power than science ambayo binadamu hajafika, unakubaliana na mimi!
🤣🤣🤣Why unasema it has nothing to do with cellular damage, we Kama nani unasema hivyo
 
unataka kutumia sanyansi ya darasani ku proof sayansi asilia? huoni kama wewe ni mjinga?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sayansi ya darasani si ndo asilia....we mbona una dharau elimu yako ..unadhani serikali ni wajinga kukuwekea Sayansi mpaka form 2...afu bado unatoka mjinga mshirikina. Ukisoma Sayansi ya darasani ukaielewa(sio ili ufanye mtihani upate cheti) utaelewa mambo mengi ya dunia. Tatizo hufatilii
 
We baba huna elimu
 
Tafuta elimu bro unaaibika Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…