Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Mimi sijasema umri mdogo au mkubwa unasababisha uone uchawi!
Sikulazimishi uamini uchawi upo,nachotaka kukuambia ni hivi:

Sio Kila kitu mpaka ukishuhudie Au kusikia ndio uamini kipo au hakipo!
Cha msingi we ishi tu kama viumbe wengine Ili mradi unavuta hewa ya oksijeni
 
Nilichogundua wewe hujui kitu Mkuu pole sanaa nitabishana na wewe mpaka nichoke ila kama Imani yako umeshaiweka hivyo basi pia upo sahihi najaribu kukuelewesha tu but your not ready kujifunza,
Nikutakie uwe na wakati Mwema
BYE👋
 
Wewe unaongea vitu vya kufikirika mimi naeleza yale ambayo yanafanyika kwenye jamii zetu, hapo unataja kanuni za biashara ila linapokuja suala la mtu kufuata vizuri hizo kanuni na bado ikawa biashara haiendi vizuri unakuwa hauna majibu ila kwenye mafanikio tu ndio unaleta habari za kanuni.

Ndio maana nilikwambia kama issue ni kufuata tu kanuni basi wafanyabiasha wote wangefanikiwa ila uhalisia haupo hivyo
 
Na nipo honestly kusema sijui kuliko wewe unasema unajua lakini kuthibisha huwezi.
Unasema jambo fulani hujui halafu hapo hapo unapinga kuwa hilo jambo sio kitu fulani hali ya kuwa hutoi sababu za kwa nini sio hicho kitu. Kwahiyo wewe ulivyoeleza mafanikio ya hao jirani zako mapolisi unaweza kuthibitisha kuwa hayo uliyoeleza ndio sababu za mafanikio yao?
 
Ni wapi nmesema nimekiona mwenyewe??

Alafu kwanini unawaza hizi ni story za africa???

Kulize huko Italy wakupe story za pinocchio na wanasema ni true story
-Pope exorcist[Hii movie na mwisho wakasema iko inspired by the life of the Rev. Gabriele Amorth ambae amefariki 2016]
Indonesia kuna
-Walking corpses
n.k

Nimegoogle Miss corridor labda ningepata chocchote nimegundua umelopoka na huna evidence
 
Mkuu naomba nikuulize swali nje ya mada

Wewe ni dini gani?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we ndo mjinga, ukiona kitu Cha uwongo afu we peke yako we ndo chizi sio sisi. Nenda kagale gale kwa mwamposa kabisa mwambie una mapepo
Uongo ni nini???

Nikiona kitu cha uongo?? Uongo huwa unaonekana??

Kwanini umemuhusisha Mwamposa anahusiana nini hapa??

Usiruke twende taratibu
 
Bro unadhani angekuwa mchawi watu wangebaki pale...zile ni magic tricks.. wanachofanya ni tricks tu si kama watu wa mazingaombwe wanaokuja shule za primary. Ushawahi waona chuo...no, why coz watu wazima wanaelimu can't be lied tu.
Umesema angekua mchawi watu wasingebaki???[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe unawaogopa wachawi? Sa mbona una act hujielewi??
 
Ndio ..kwani wazungu si walituletea dini kututawala Ila now ndo wanaongoza kutoamini dini ..wenzetu wakipata elimu wanabadilika, sisi tunakazania utamaduni ambao hautusaidii chochote
Watu kutoamini jambo haina mahusiano na ukweli au uongo wa hilo jambo, hata huku afrika wapo watu hawana elimu na hawaamini dini wanaamini vitu vyengine.

Nawe unaamini wazungu walikuletea dini ili kukutawala?
 
Upumbavu wangu ni upi sasa? Sio wewe uliyesema wenzetu waliwachoma moto wachawi?
 
Bro unadhani angekuwa mchawi watu wangebaki pale...zile ni magic tricks.. wanachofanya ni tricks tu si kama watu wa mazingaombwe wanaokuja shule za primary. Ushawahi waona chuo...no, why coz watu wazima wanaelimu can't be lied tu.
Mkuu kumbe unawaogopa wachawi na unajua ingekua uchawi watu wasingekuwepo??[emoji23][emoji23]

Fuatilia hiki chuo kilikua North America
 
Angalia kitu kinaitwa breaking the magician code. Afu utaelewa hizi magic tricks zinafanywaje. Ingekuwa uchawi unadhani wangebaki pale. Ile ni entertainment ni Sanaa kama nyingine, sio wajinga wale Kama wewe.
Mie hayo yote nayajua hakuna kipya cha kuniambia.
 
Mimi sijajifunga na ndio maana sipingi sayansi na sipingi uchawi, kila kimoja kina nafasi yake. Sasa wewe unapinga uchawi kama kitu tu ambacho haukiamini ila hauna sababu za msingi.
 
Uthibitisho haufanyi kitu kuwepo au kisiwepo, sio kila ambacho unashindwa kuthibitisha ni kwa sababu hakipo au sio kweli haipo hivyo. Haya mambo ndio unakuta labda mmea fulani ni tiba ya ugonjwa fulani na kweli hutumika kama tiba na watu hupona ila unakuta unapingwa kisa tu haujafanyiwa tafiti za kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…