machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Mimi sijasema umri mdogo au mkubwa unasababisha uone uchawi!🤣🤣🤣🤣Nina umri mkubwa tu na naweza kufa sijaona coz havipo..na wapo wanaokufa hawajaona. Kama umri wa kuona uchawi ni umri fulani utaje tuulize watu waliofika huo umri. Na kwa Nini uchawi uchague umri 🤣huu ni ujinga leta hoja ya kunishawishi
Sikulazimishi uamini uchawi upo,nachotaka kukuambia ni hivi:
Sio Kila kitu mpaka ukishuhudie Au kusikia ndio uamini kipo au hakipo!
Cha msingi we ishi tu kama viumbe wengine Ili mradi unavuta hewa ya oksijeni