Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Joe Biden.
Tushawahi kumwona live? no. Ila hatubishani kuwa ni rais wa marekani, hatubishani kuwa haexist. Why? Coz he's real na Kuna evidence kibao ambazo ni reliable na relevant kwamba ana exist. Sio lazma kila kitu ukiona. Mi sijawahi kwenda Russia lakini najua hio nchi ipo. So nipe evidence ya uchawi
 
Hivi we unaelewa maana ya miss corridor. Search miss high heels in schools kitu Kama hicho ana majina tofauti. Ni story Ina Wikipedia page yake kabisa. Miss corridor ni famous kwa bongo ila ghana Nigeria etc Wana majina Yao related tu..ni famous tale ila nayo ni story tu
 
kama uchawi haupo,hata muumba hayupo
Hii ni false dichotomy....ndo maana unaamini uchawi. Unadhani usipoamini uchawi upo basi huamini Mungu yupo because Quran na bible imeamini uchawi basi na wewe uamini. Vile vitabu ni vya watu vina makosa kibao kuliko gazeti la Jana la mwananchi. Mungu sio Biblia Wala Quran. Na Kama wewe unaamini muumba huna sababu ya msingi ya kuamini uchawi upo.
 
Lakini si unatibu...haupingwi coz hautibu unapingwa coz of side effects, effect rate etc. Lakini si upo, hamna mtu kabisha mmea upo au hautibu. Niambie kitu ambacho kipo afu hakina uthibitisho
 
Mwaka 2004 nilikuwa nimelala,nilipanga chumba Tinde,Enzi za Grinaker LTA.
Usiku nimelala nasikia vishindo kuzunguka chumba kwa nje mpaka kijumba kinatingishika kama vile kundi kubwa la ng'ombe......nilipoamka asubuhi hakuna hata Alamance ya kwato.
Unaota
 
mkuu unajichanganya sana, vitabu vinavyo zungumzia juu ya uwepo wa muumba vinataja pia uwepo wa uchawi wewe unasema vina makosa (unabagua hili sawa hili hapana)

ukwel uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…