Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Joe Biden.
Tushawahi kumwona live? no. Ila hatubishani kuwa ni rais wa marekani, hatubishani kuwa haexist. Why? Coz he's real na Kuna evidence kibao ambazo ni reliable na relevant kwamba ana exist. Sio lazma kila kitu ukiona. Mi sijawahi kwenda Russia lakini najua hio nchi ipo. So nipe evidence ya uchawi
 
Ni wapi nmesema nimekiona mwenyewe??

Alafu kwanini unawaza hizi ni story za africa???

Kulize huko Italy wakupe story za pinocchio na wanasema ni true story
-Pope exorcist[Hii movie na mwisho wakasema iko inspired by the life of the Rev. Gabriele Amorth ambae amefariki 2016]
Indonesia kuna
-Walking corpses
n.k

Nimegoogle Miss corridor labda ningepata chocchote nimegundua umelopoka na huna evidenceView attachment 2707637
Hivi we unaelewa maana ya miss corridor. Search miss high heels in schools kitu Kama hicho ana majina tofauti. Ni story Ina Wikipedia page yake kabisa. Miss corridor ni famous kwa bongo ila ghana Nigeria etc Wana majina Yao related tu..ni famous tale ila nayo ni story tu
 
kama uchawi haupo,hata muumba hayupo
Hii ni false dichotomy....ndo maana unaamini uchawi. Unadhani usipoamini uchawi upo basi huamini Mungu yupo because Quran na bible imeamini uchawi basi na wewe uamini. Vile vitabu ni vya watu vina makosa kibao kuliko gazeti la Jana la mwananchi. Mungu sio Biblia Wala Quran. Na Kama wewe unaamini muumba huna sababu ya msingi ya kuamini uchawi upo.
 
Uthibitisho haufanyi kitu kuwepo au kisiwepo, sio kila ambacho unashindwa kuthibitisha ni kwa sababu hakipo au sio kweli haipo hivyo. Haya mambo ndio unakuta labda mmea fulani ni tiba ya ugonjwa fulani na kweli hutumika kama tiba na watu hupona ila unakuta unapingwa kisa tu haujafanyiwa tafiti za kisayansi.
Lakini si unatibu...haupingwi coz hautibu unapingwa coz of side effects, effect rate etc. Lakini si upo, hamna mtu kabisha mmea upo au hautibu. Niambie kitu ambacho kipo afu hakina uthibitisho
 
Mwaka 2004 nilikuwa nimelala,nilipanga chumba Tinde,Enzi za Grinaker LTA.
Usiku nimelala nasikia vishindo kuzunguka chumba kwa nje mpaka kijumba kinatingishika kama vile kundi kubwa la ng'ombe......nilipoamka asubuhi hakuna hata Alamance ya kwato.
Unaota
 
Hii ni false dichotomy....ndo maana unaamini uchawi. Unadhani usipoamini uchawi upo basi huamini Mungu yupo because Quran na bible imeamini uchawi basi na wewe uamini. Vile vitabu ni vya watu vina makosa kibao kuliko gazeti la Jana la mwananchi. Mungu sio Biblia Wala Quran. Na Kama wewe unaamini muumba huna sababu ya msingi ya kuamini uchawi upo.
mkuu unajichanganya sana, vitabu vinavyo zungumzia juu ya uwepo wa muumba vinataja pia uwepo wa uchawi wewe unasema vina makosa (unabagua hili sawa hili hapana)

ukwel uchawi upo
 
Back
Top Bottom