Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Wapi nimekwambia uthibitishe kitu ambacho hakipo?

Point yangu ni kwamba unapinga uchawi pasina kutoa sababu za msingi yani kwa sababu hauamini tu uchawi basi, na kibaya zaidi hata huo uchawi wenyewe hata hauelewi vizuri ila unatumia nguvu kuupinga.
Wewe ndo utuonyeshe upo...u can't prove a negative. Umesoma math wewe au science ya primary. Kuhusu hypothesis unajua, Kama hujui kaa kimya Rudi shule
 
Nipe mfano.. halisi Sasa...hela zinapotea ndio. Uchawi umeingiaje Sasa? Kwani hela hazipotei? Zinapotea. So uchawi umetoka wapi.
 
🤣🤣🤣🤣Story umesoma kwenye kitabu Gani Cha kiswahili...eti nchi nzima
 
Nimejikita kwenye kitu najua.Usilazimishe unavyoamini wewe nami niamini hivyo.
Tuheshimu namna zetu za fikra.Nimependa ushauri wako.
🤣Hujui Sasa unaamini. Kujua ni kitu ambacho ni real. Sote tunajua jua lipo. Ila kitu ambacho we mwenyewe unaweza kuona na kujua sio kujua ni Imani. Elewa hapo.
 
Iko hivi Hata ambavyo wewe huvijui pia vipo maana huwezi kujua kila kitu.

Sasa nakuuliza je wewe unaujua huo uchawi?
Ndio sijabisha...Kuna vitu sijui...Ila vipo. Ila uchawi haupo. It's simple. Kama upo uthibitisho wowote nipe. Nakusikiliza
 
Ushawahi kusikia tiba ya maji tu ya kunywa kutumika kutibu maradhi?
Mwili hujitibu wenyewe, soma biology o level utanishkuru. unaweza usinywe dawa na upone. Kunywa maji mengi it's also a healing mechanism. Hamna uchawi hapa. Anything else?
 
Acha kuamini ujinga wewe. Hakuna ndege iliyopotea kwa miaka 37.

Hizo ni fiction stories ama fallacy za mambo ya time travel.. ni kama story za movies zenye hisia zinazofanya watazamaji watoke machozi.

Weka evidence iliyoonyooka kuhusu hiyo ndege
🤣Afu anasema wanasayansi wamefanya Nini sijui... ukishakuwa against science against reason against logic we tayari ni chizi... achana nae huyo
 
nawezaje kukuaminisha kitu usichoamini
Twende kwa logic. Kwa Nini nijifanye mjinga mshirikina chizi kisa Imani potofu. Kitu kilichopo kinaaminika. Jua mwezi nyota maghorofa bahari etc. Why uamini kitu ambacho hakipo, Kuna faida gani
 
Kama sikosei utakuwa wewe n mtu wa Kigoma.
Uwe na wakati Mwema
BYE 👋
 
Mimi nafikiri mtu ambaye ana uchu wa kujua jambo huwa analifanyia utafiti Alfu ndo anakuja na Fact wewe unasema uchawi haupo huna reason ya kuthibitisha hilo umebaki Wana sayansi sijui wanasemaje fanya mwenyewe acha kubisha hapa!!! Unawafahamu wanajim waulize au nenda kafanye kuhusu unajimu ujue.
YANI KAMA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO HUELEWI BASI NI KAZI BURE KUBISHANA NA AINA YA MTU KAMA WEWE
 
Twende kwa logic. Kwa Nini nijifanye mjinga mshirikina chizi kisa Imani potofu. Kitu kilichopo kinaaminika. Jua mwezi nyota maghorofa bahari etc. Why uamini kitu ambacho hakipo, Kuna faida gani
Ujinga ni kutaka kutumia logic kwenye mambo yasiyo na Logic
 
Acha kuamini ujinga wewe. Hakuna ndege iliyopotea kwa miaka 37.

Hizo ni fiction stories ama fallacy za mambo ya time travel.. ni kama story za movies zenye hisia zinazofanya watazamaji watoke machozi.

Weka evidence iliyoonyooka kuhusu hiyo ndege
Mm nakushauri nenda google andika hiyo ndege iliyopotea usome habari yake then uje hapa,,
Alfu Kingine kama hutaki kuamini unasema ni Fiction,, hivi mtu anakwambia vita ya kwanz ilipigana wewe unaminije Kuwa hiyo vita ilikuwepo na wakat wewe hukuwepo isipokua tu unaisoma na wew unamini why usiseme hiyo ni habari, acha kuonyesha kwa jinsi gan kichwa chako hakifanyi kazi,, tarifa huwa zinarekodiwa kwa ajili ya kizaz na kizazi kama kumbukumb ya vizaz vijavyo basi kama hiyo huamini
Pole sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…