Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kwahyo kauli yako ya mwanzo kwamba wazungu hawaamini uchawi unaifuta???

Ni elimu ipi unayoiongelea ambayo unahisi watu wakiipata wataacha kuamini kuwa kuna uchawi?
Nielewe...nimesema jamii Yao, Sasa Kama Kuna shoga mmoja Tanzania utasema watanzania mashoga...hebu kuwa serious bac
 
Wew ni msomi sikunyingine jitahidi kuweka walau paragraph umebananisha kama standard 7
 
Huo muda wa kurecord unautoa wapi wakati tukio lilitokea instantly.

Hallucination ya watu wawili kwa wakati mmoja, ni maajabu sana.
😅🤣 Nimekuambiaje Portugal in Fatima watu 3000 waliona jua linacheza cheza, linatoa colours tofauti, niambie Sasa jua lilicheza kwa hao watu 3000 tu dunia nzima tusione au wao 3000 Wana hallucinations. Mazingira na maandalizi kabla ya hio scenario Ina affect ur brain. We na rafiki yako mnaweza mkawa mmeona kitu Cha ajabu. Lakini mkiulizwa independently kuhusu Hilo jambo it's highly likely mtaelezea tofauti kidogo hamuwezi kuwa sawa katika kukielezea. Hizi accounts zipo kwenye story za wachawi, kila mtu huwa na vision yake tofauti kidogo. Which shows it's just brain. Hamna jipya hapo..ndo maana nakuambia elimu na tafiti ni muhimu.
 
Mambo yenu ya ulimwengu wa kiroho ndo kama huyu dragon. 🤣💔
 

Attachments

  • images (61).jpeg
    37.9 KB · Views: 8
Zingatia: hakuna anayejitangaza kuwa anakwepa kulipa kodi na kutoa rushwa, yani mfano huyo jirani yako polisi ambaye umemtolea mfano anaweza akawa anapata pesa kupitia rushwa ila wewe hujui hilo we umeeleza tu kile unachokiona akikifanya kumbe siri ya mafanikio yake ni rushwa.

Nazungumzia haya kwa sababu wewe ulisema maadamu mtu anafanya kazi basi siwezi tena kuhusisha mafanikio yake na uchawi, sasa ndio naeleza haya kuonyesha kwamba tunaweza kumuona mtu kweli anafanya kazi lakini kumbe siri ya mafanikio inaweza ikawa ni ujambazi,rushwa,kukwepa kodi au uchawi lakini yeye tunamuona anafanya biashara.
Kuna mchaga amepanga kwenye eneo langu anauza duka na ni mfanyakazi mzuri tu kama walivyo wachaga ila namjua ni mshirikina na hayo mambo yake ya kishirikina huyafanyia hapo hapo dukani kwake mpaka baadhi ya watu wanasita kununua baadhi ya bidhaa za chakula dukani kwake.
 

Tumia mfano wa mchaga nipe connection ya ushirikina wake na kuuza kwake?
Mchaga anauza bidhaa za chakula hiyo ni product, kwahiyo anayo thamani ya kubadilishana na mteja kwa kupata pesa.
Mchaga anafungua duka ILI lionekane ina maana place au location mchaga hawezi funga duka sababu bidhaa inahitaji kuonekana.

Nipe connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu?

Una kichwa kigumu mpaka sasa hujathibitisha ni vipi uchawi unasababisha mtu kupata pesa.

POLISi umetolea mfano anaweza kuwa mla rushwa Sawa ina maana anajilimbikizia mali hivyo anapata pesa.

Embu tupe connection mbona Hili swali ni jepesi
 
Okay bac we unajuaje mtu katumia uchawi...tufanye hivyo. Ili iwe verifiable. Sema kitu fulani kikitokea hivi na hivi ni uchawi ndo umemfanikisha..😊 nakusikiliza
Mimi siwezi tu kujua hilo kiuhakika kwamba huyu katumia uchawi na huyu hajatumia kama ambavyo unaweza usijue mafanikio ya mfanyabiashara kuwa ni kukwepa kulipa kodi.
Ila tunaona watu wenye kutumia uchawi kwenye biashara.
 
Mimi siwezi tu kujua hilo kiuhakika kwamba huyu katumia uchawi na huyu hajatumia kama ambavyo unaweza usijue mafanikio ya mfanyabiashara kuwa ni kukwepa kulipa kodi.
Ila tunaona watu wenye kutumia uchawi kwenye biashara.

The problem siyo kutokujua yaani ukishasema sijui kama mfanyabiashara amekwepa kodi ina maana kama anakwepa kodi ina maana anapata zaidi ya wenzake hilo linaelelezeka.

Tuelezee connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu mbona Hili swali ni jepesi?

Mtu anakula rushwa mtu anaibia miradi ya serikali, mtu anavamia majumba ya matajiri hayo yote yanafanya mtu huyo kupata pesa hivyo anajilimbikizia mali nyingi.

Tupe connection ya uchawi na kufanikiwa kwa mtu au uchawi unafanyeje mpaka mtu apate pesa
Note: jikite kwenye maana uliyoitoa huko juu kuhusu uchawi.
 
Connection ipo kwenye kuvuta wateja na hapo ndipo anapopata mafanikio, sasa ukiniuliza uchawi unafanya vp kuvuta wateja hilo sijui ila nachojua ni kweli uchawi una uwezo wa huo kwa sababu ni kitu ambacho kinafanyika na tunaona athari yake.
 
Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi

Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi
 

Attachments

  • Screenshot_20230727-171619_1.jpg
    12.7 KB · Views: 7
Uchawo upo dunia nzima watu wanaujua, hata hao wazungu unaowaona wameendelea kwao upo. Wanaishia kukwambia wewe mwafrika una mila za ajabu ilihali kwao zinafanyika kinamna yao kulingana na utamaduni wa kwao. Zile wanazoita spell ni nini?

Hakuna mahali hapa duniani utaenda usikute ushirikina, acha kuongea vitu usivyovijua. Wewe ni brainwashed na si kwamba umeelimika. Hao unawaita madokta maisha yao binafsi wengine unayajua? Hakuna mahala kwenye mabara yote ya duniani wanapokaa wanadamu utakapoemda usiukute uchawi. Upo unafanyika kuendana na mila ma desturi za jamii husika walivyorithi
 
Fata watu wa kilimo Bora wakuelimishe acha uvivu na ujinga.
Kwenye hili nadhani wewe ndio mjinga na mvivu, ntakuuliza swali Moja tu ukinijibu nafuta app ya Jf. Kikawaida natakiwa kupata magunia mangapi ya mpunga Kwa ekari Moja iwapo nitafata watu wa KILIMO BORA ?
Asante na karibu.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tambua kuwa Uchawi ni Sayansi, una Kanuni beyond hii sayansi iliyoshindwa hata kutibu mafua au kumkamata mwizi mahakamani.
Huwezi kutumia kanuni za Sayansi hii ya darasani kuthibitisha Sayansi ya Uchawi, maana imejengwa kupotasha Sayansi Ukweli na kujaribu kutoa dhana za uongouongo juu yake.
 
Connection ipo kwenye kuvuta wateja na hapo ndipo anapopata mafanikio, sasa ukiniuliza uchawi unafanya vp kuvuta wateja hilo sijui ila nachojua ni kweli uchawi una uwezo wa huo kwa sababu ni kitu ambacho kinafanyika na tunaona athari yake.

Hatimae umeamua kuonyesha ujinga wako na ujinga si tusi ndugu yangu.

Yaani muda wote unatetea kitu ambacho hukijui nilifikiri nimeshayaona yote kumbe bado.

SimbaMpole123 njoo uone huyu mtu anasema najua inavuta wateja ILA ukiniuliza vipi ndo sijui hapo.

Yaani judge anakuuliza embu thibitisha kwamba mtu unayemlalamikia ni mwizi halafu unaanza kusema huyu ni mwizi sababu nilisikia ni mwizi lakini mheshimiwa ukiniambia ni mwizi kivipi hapo sasa ndo sijui lakini ni mwizi.

Ndugu Tz mbongo kufeli au kutokujua ni part ya kujifunza. Sina cha kukushauri zaidi ya kukubali ujinga ulionao kichwani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…