a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Nguvu ya Uchawi na Nguvu ya Mungu ni kitu kimoja, kinachofautisha majina ni mihemko yetu tu, si kingine.Nguvu ya Mungu ipo kwa ajili ya kuokoa, kuponya na kutoa ulinzi dhidi ya uchawi na madhara ya uchawi.
Nyie wachawi ndio mnajaribu kupotosha watu hakuna uchawi ili muendelee kuwadhuru.
Nikitumia gamba la nyoka kukudhuru utasema ni Nguvu ya Uchawi, gamba hilohilo nikitumia kukutibu utamsifu Mungu wako.
Unafiki.