Hatimae umeamua kuonyesha ujinga wako na ujinga si tusi ndugu yangu.
Yaani muda wote unatetea kitu ambacho hukijui nilifikiri nimeshayaona yote kumbe bado.
SimbaMpole123 njoo uone huyu mtu anasema najua inavuta wateja ILA ukiniuliza vipi ndo sijui hapo.
Yaani judge anakuuliza embu thibitisha kwamba mtu unayemlalamikia ni mwizi halafu unaanza kusema huyu ni mwizi sababu nilisikia ni mwizi lakini mheshimiwa ukiniambia ni mwizi kivipi hapo sasa ndo sijui lakini ni mwizi.
Ndugu Tz mbongo kufeli au kutokujua ni part ya kujifunza. Sina cha kukushauri zaidi ya kukubali ujinga ulionao kichwani .