a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Kama umejifungia kwenye boksi la Sayansi Mamboleo, Nitawezaje kukusaidia halikuwa Unajivunia na kuonea fahari kifungo chako?sasa hizo bado zinabaki ni stori na kuamini hakuna shida.
Ukitaka uaminike ni uthibitishe.
Nilijua unayo hoja tuzungumzie kumbe ni na wewe unasikia sikia tu stori Sawa.
Ukitaka Ushuhuda, Tafuta MTU aliyevunjika mifupa nikupeleke kwa wajuzi ambao watamtibu pasi hata kugusa jeraha lake, na kama ni mguu ndani ya week atatembea mwenyewe. KISHA NITAKUACHIA WEWE UTAFAKARI NI SAYANSI GANI HIYO AU KAMA NI MAZINGAOMBWE BASI UTASUBIRI MIAKA KUONA NDUGUYO AKICHECHEMEA TENA, NA USIONE. NA UMPELEKE HOSPITAL ZOTE UKAMPIME USAHIHI WA KUPONA KWAKE.
Utumwa wa Fikra ni jambo baya sana.