SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Ni myth ndio it's not a true story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nielewe...nimesema jamii Yao, Sasa Kama Kuna shoga mmoja Tanzania utasema watanzania mashoga...hebu kuwa serious bacKwahyo kauli yako ya mwanzo kwamba wazungu hawaamini uchawi unaifuta???
Ni elimu ipi unayoiongelea ambayo unahisi watu wakiipata wataacha kuamini kuwa kuna uchawi?
Google that, au tafuta kamusi, mi sio mtaalamu wa kiswahiliHii Noo haijajitosheleza
Maarifa ni nini?
let life continue🤣🤣🤣🤣 Nimekuambiaje hiki kitabu kina makosa mengi kuliko gazeti la Jana. Soma post yangu ya #653 utaelewa. So this isn't evidence, ni kama story nyingine tu unanihadithia
Huo muda wa kurecord unautoa wapi wakati tukio lilitokea instantly.Hallucinations....[emoji1787]ungetaka kuaminika ungerecord
Wew ni msomi sikunyingine jitahidi kuweka walau paragraph umebananisha kama standard 7Story ya miss corridor ndo naisikis leo mtu mwingine anaisimulia. Back in o level days nilikutana na tukio kama hilo, kulikuwa na sauti very specific ya mtu anatembea na high heels kuja uelekeo ya chumba nilichokuwa, nimekomaa zangu kusoma wakati tunaenddela na mitihani ya taifa, alipokaribia usawa wa chumba changu hofu ilishanishika nikakimbilia kitandani, vuta shuka na kuziba masikio na kufumba macho, nilikuwa nasikilizia mapigo ya moyo wangu yakienda mbio, na usingizi ukanishika moja kwa moja shortly, sikuwahi kuielewa hiyo hali mpaka leo, na sikumsimulia mtu, nashangaa kumbe kuna hadi term wanaita miss corridor, ila shetani , asante Yesu kwa ulinzi. That was very real, ilianza ghafla kwa mtu kufungua na kufunga mlango wa nje (ulikuwa unafungwa always, na giza likiingia wadada wa bweni wanabana kwa kufuli yaani tunafungiwa ndani) na movement ikawa specific inakuja straight nilipokuwa, akifuata corridor la bweni chumba chetu kilikuwa mwisho kabisa, partition za vyumba hazikuwa na milango so ningekomaa ningeona kwa macho who or what was walking namna ile, sidhani kama ningebaki timamu I swear. Na ilishakuwa usiku wa manane yapata saa nane au tisa unajua ile mnasoma unamwambia rafiki yako akuamshe anapolala nawe unaamka unaendelea na kitabu. Kilichonivuta attention ni kwanza ile high heels, hakuna mtu anaamka usiku avae high heels, hivyo viatu vilikuwa haviachwi kwenye corridor, ila kulikuwa na ndala nyingi sana unaweza kuvaa za yeyote mnayeshare chumba, na pili hakukuwa na sababu ya mtu kuja chumba chetu maana sisi form 4 tulishare room moja, na madogo wote walikuwa wanalala mapema kabisa, vyoo vililikuwa nje na watu walitoka kwa kusindikizana wanaoshare chumba that time hakuna mtu alikuwa ametoka , na tatu, muda uliotumika kufunga na kufungua mlango ulikuwa just a matter of seconds mind you tayari ile milango imefungwa kufuli ile milango mipana ya vipande viwili, mauza uza yalikuwa mengi sana, it was far from normal.
😅🤣 Nimekuambiaje Portugal in Fatima watu 3000 waliona jua linacheza cheza, linatoa colours tofauti, niambie Sasa jua lilicheza kwa hao watu 3000 tu dunia nzima tusione au wao 3000 Wana hallucinations. Mazingira na maandalizi kabla ya hio scenario Ina affect ur brain. We na rafiki yako mnaweza mkawa mmeona kitu Cha ajabu. Lakini mkiulizwa independently kuhusu Hilo jambo it's highly likely mtaelezea tofauti kidogo hamuwezi kuwa sawa katika kukielezea. Hizi accounts zipo kwenye story za wachawi, kila mtu huwa na vision yake tofauti kidogo. Which shows it's just brain. Hamna jipya hapo..ndo maana nakuambia elimu na tafiti ni muhimu.Huo muda wa kurecord unautoa wapi wakati tukio lilitokea instantly.
Hallucination ya watu wawili kwa wakati mmoja, ni maajabu sana.
Zingatia: hakuna anayejitangaza kuwa anakwepa kulipa kodi na kutoa rushwa, yani mfano huyo jirani yako polisi ambaye umemtolea mfano anaweza akawa anapata pesa kupitia rushwa ila wewe hujui hilo we umeeleza tu kile unachokiona akikifanya kumbe siri ya mafanikio yake ni rushwa.Wewe umeleta madai hayo nikasema BADO tunaweza kuelezea kwanini anapata pesa.
swali langu jepesi nipe connection ya uchawi na kupata pesa kama mfano mtu alipi kodi anakula rushwa hivyo anajilimbikizia mali nyingi.
Naomba unipe connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu?
Mpaka sasa ushaona umeshindwa ILA utaki kubali.
Failures ni part ya kujifunza
Zingatia: hakuna anayejitangaza kuwa anakwepa kulipa kodi na kutoa rushwa, yani mfano huyo jirani yako polisi ambaye umemtolea mfano anaweza akawa anapata pesa kupitia rushwa ila wewe hujui hilo we umeeleza tu kile unachokiona akikifanya kumbe siri ya mafanikio yake ni rushwa.
Nazungumzia haya kwa sababu wewe ulisema maadamu mtu anafanya kazi basi siwezi tena kuhusisha mafanikio yake na uchawi, sasa ndio naeleza haya kuonyesha kwamba tunaweza kumuona mtu kweli anafanya kazi lakini kumbe siri ya mafanikio inaweza ikawa ni ujambazi,rushwa,kukwepa kodi au uchawi lakini yeye tunamuona anafanya biashara.
Kuna mchaga amepanga kwenye eneo langu anauza duka na ni mfanyakazi mzuri tu kama walivyo wachaga ila namjua ni mshirikina na hayo mambo yake ya kishirikina huyafanyia hapo hapo dukani kwake mpaka baadhi ya watu wanasita kununua baadhi ya bidhaa za chakula dukani kwake.
Mimi siwezi tu kujua hilo kiuhakika kwamba huyu katumia uchawi na huyu hajatumia kama ambavyo unaweza usijue mafanikio ya mfanyabiashara kuwa ni kukwepa kulipa kodi.Okay bac we unajuaje mtu katumia uchawi...tufanye hivyo. Ili iwe verifiable. Sema kitu fulani kikitokea hivi na hivi ni uchawi ndo umemfanikisha..😊 nakusikiliza
Mimi siwezi tu kujua hilo kiuhakika kwamba huyu katumia uchawi na huyu hajatumia kama ambavyo unaweza usijue mafanikio ya mfanyabiashara kuwa ni kukwepa kulipa kodi.
Ila tunaona watu wenye kutumia uchawi kwenye biashara.
Connection ipo kwenye kuvuta wateja na hapo ndipo anapopata mafanikio, sasa ukiniuliza uchawi unafanya vp kuvuta wateja hilo sijui ila nachojua ni kweli uchawi una uwezo wa huo kwa sababu ni kitu ambacho kinafanyika na tunaona athari yake.Tumia mfano wa mchaga nipe connection ya ushirikina wake na kuuza kwake?
Mchaga anauza bidhaa za chakula hiyo ni product, kwahiyo anayo thamani ya kubadilishana na mteja kwa kupata pesa.
Mchaga anafungua duka ILI lionekane ina maana place au location mchaga hawezi funga duka sababu bidhaa inahitaji kuonekana.
Nipe connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu?
Una kichwa kigumu mpaka sasa hujathibitisha ni vipi uchawi unasababisha mtu kupata pesa.
POLISi umetolea mfano anaweza kuwa mla rushwa Sawa ina maana anajilimbikizia mali hivyo anapata pesa.
Embu tupe connection mbona Hili swali ni jepesi
Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi
Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi
CHEKA SANAAA, ONGEA SANAAA....ILA JUA HAYAMKUTI MBUZI .🤣🤣🤣🤣Yaani hizi story hata mtoto wa la pili hawezi amini
Uchawo upo dunia nzima watu wanaujua, hata hao wazungu unaowaona wameendelea kwao upo. Wanaishia kukwambia wewe mwafrika una mila za ajabu ilihali kwao zinafanyika kinamna yao kulingana na utamaduni wa kwao. Zile wanazoita spell ni nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeona sasa...huo ujinga wako ndo unakufanya uone uchawi. Mbona wenzetu walioendelea hawakai kufikiria mauchawi, ni WA Africa tu Tena wenye maisha duni coz hamna elimu. Ukishajua biology huwezi amini uchawi. Ushawahi ona doctor anaamini uchawi. Vitu vingine fuatilieni bac ni Sayansi ya ubongo tu
Kwenye hili nadhani wewe ndio mjinga na mvivu, ntakuuliza swali Moja tu ukinijibu nafuta app ya Jf. Kikawaida natakiwa kupata magunia mangapi ya mpunga Kwa ekari Moja iwapo nitafata watu wa KILIMO BORA ?Fata watu wa kilimo Bora wakuelimishe acha uvivu na ujinga.
Tambua kuwa Uchawi ni Sayansi, una Kanuni beyond hii sayansi iliyoshindwa hata kutibu mafua au kumkamata mwizi mahakamani.Hallucinations ni uzoefu usio wa kawaida wa kuona, kusikia, au kuhisi vitu ambavyo havipo kimwili au kwenye mazingira halisi.
Halafu tazama sentensi yako sikuwa "stressed kihivyo"
Mkuu analyse mimi binafsi huwa siamini uchawi wala uwepo wa mungu.
Hata mimi hallucinations nisha experience na siyo lazima uwe stressed unaweza kuwa kuwa ecstatic na BADO hii hali ikakupata.
Na wachache naowafahamu waliopitia HALI hii huwa kuna vitu vinaendelea kwenye maisha yao havipo Sawa.
Connection ipo kwenye kuvuta wateja na hapo ndipo anapopata mafanikio, sasa ukiniuliza uchawi unafanya vp kuvuta wateja hilo sijui ila nachojua ni kweli uchawi una uwezo wa huo kwa sababu ni kitu ambacho kinafanyika na tunaona athari yake.