Nguvu ya Uchawi na Nguvu ya Mungu ni kitu kimoja, kinachofautisha majina ni mihemko yetu tu, si kingine.Nguvu ya Mungu ipo kwa ajili ya kuokoa, kuponya na kutoa ulinzi dhidi ya uchawi na madhara ya uchawi.
Nyie wachawi ndio mnajaribu kupotosha watu hakuna uchawi ili muendelee kuwadhuru.
Nguvu za Mungu huwezi kuzitumia kwenye uovu.Kidesturi zetu, UCHAWI NI MATUMIZI MABAYA YA NGUVU ZA ASILI/MUNGU. Yaani kutumia Nguvu za Mungu kudhuru mtu asiyekuwa na hatia.
Uchawi hautibu hata siku moja, ila uchawi hutumika kudhuru au kuupoza/kutuliza kwa muda tu uchawi mwingine.Nguvu ya Uchawi na Nguvu ya Mungu ni kitu kimoja, kinachofautisha majina ni mihemko yetu tu, si kingine.
Nikitumia gamba la nyoka kukudhuru utasema ni Nguvu ya Uchawi, gamba hilohilo nikitumia kukutibu utamsifu Mungu wako.
Unafiki.
Ngoja nkuulze maalimuUna kinga kubwa kiroho aisee huyo hakuwa mtu bali roho baya lililotumwa kukuziba njia ili ugongwe na gari ufe malengo ya mbaya wako yatimie afurahi kuwa kakuweza
Uko sahihi.Uchawi ni imani'kitu pekee kinacho weza kufanya na uchawi ukaonekana upo ni imani na hiyo nguvu ili ifanye kazi inataka uiamini/uwe na imani nayo uiishi.hao wanao itwa manabii na mitume wanajua vema siri ya uchawi.ngoja nitumie neno hili wamehaki akili za waumini wao hivyo muumini hawezi tena kusikiliza saut ya nje yake huo pia ni uchawi kama unaweza kumfanya mtu mwenye akili timamu utashi akusikilize wewe tu na ukamfanyia mazingayomwe yale ya kushika kichwa akadondoka huo nao ni uchawi mkubwa tu.tofaut hapo ni 2 wewe unafanya uchwi kutumia neno la mungu wakati wengine upande wa pili.uchawi ni imani halisi haupo uchawi hutenda kazi kwa kadri nguvu yako ubongo inavyo fikiri lakini wenyewe kutu chenye maana.na jua sio rahisi sana kuelewa ila nikuhakikishie ukitaka kujifunza kuhusu nguvu hiyo 0756805540.uchawi ni upuuzi labda tu kinacho weza kukutisha ni neno lenyewe (uchawi)na si uchawi wenyewe...mwisho tu ni kwambie kama uliwahi kwenda kwa mganga kugangua ulipigwa.
Sijasema Uchawi umetibu, wewe ndio unaita Uchawi. Ila kilichotibu ni gamba la nyoka.Uchawi hautibu hata siku moja, ila uchawi hutumika kudhuru au kuupoza/kutuliza kwa muda tu uchawi mwingine.
Mimi nimekwambia kwamba utapeli na wizi upo na mtu akitapeliwa anasema haleti excuse, sasa nilitegemea wewe ukaeleza kwa kina ni vp hiyo chuma ulete sio uchawi bali ni utapeli tu ambao unafanywa hivi na vile ila sio uchawi. Mfano kuna ule utapeli wa simu ambao hao matapeli wanajifanya kukutumia pesa kimakosa na mwisho wa siku wanakutapeli, wapo ambao wanajaribu kuhusisha na uchawi ila kiukweli si uchawi maana ni utapeli ambao unaelezeka na watu wanaowatapeli asilimia kubwa ni wale ambao hawana uelewaa, ila kwa wenye uelewa hawawezi kuwatapeli.🤣Ndo mtu akiibiwa anasema chuma ulete ni excuse. Siku hizi sio lazma ukabwe. Mjini watu Wana tactics nyingi Sana mpaka kuja kukuibia. Ndo maana nasema ni mchezo wa akili sio uchawi. We unasema uchawi kabla ya kuelewa. Ukielewa unacheka tu unakubali umepigwa bac ndo maisha, mi mwenyewe yashawahi nikuta so naelewa
Sawa ndo maana nimesema factors zipo nyingi ila none of them ni uchawi
Jamaaa wew una ubishi wa kijinga kabsa hivi vitu vipo na vimetokea sana mi nina mfano halisi kijijini kwetu Maswa walikuwa wanatengeneza barabara kuna sehemu walikuwa wameielekeza ipite kulikuwa na miti ya bibi mmoja mikubwa walijaribu kuing'oa mpk zile Caterpillar zikawa znaharibika mpk wakabadilisha uelekeo wa barabaraHukusema ilishindikana sababu bibi aligoma?
Halafu hizo mashine zilikwama vipi? Hiyo nyumba ilikuwaje to the extent bulldozer ishindwe kufanya kazi yake?
Ndiyo maana mwisho nikakwambia hizo ni stori za kuhalalisha stori yako.
Mimi nilizungumzia hallucinations ILA wewe ni stori za kufikirika na jamaa niliye mquote nilimpa na mifano kadhaa hata mimi ishawahi nitokea na rafiki wa karibu aliyepoteza mzazi wake.
Kafatilie tena nilichoandika mkuu
Acha bhana huyu jamaa ana kazi yake nzuri na nimpambanaji haswa kaanzia Tata mpk zile higer uchawi hapo hauusikiMmmiliki wa mabasi ya mkoani. Yanaitaa libanika
Sio lazima nijue unafanyaje kazi ila muhimu najua unafanya hiyo kazi, kama leo ukiwauliza watu mtaani wakueleze ni vp simu zao za mkononi zinavyofanya kazi wengi hawatoweza kuelezea ni vp zinafanya kazi ila wanatumia.Hatimae umeamua kuonyesha ujinga wako na ujinga si tusi ndugu yangu.
Yaani muda wote unatetea kitu ambacho hukijui nilifikiri nimeshayaona yote kumbe bado.
SimbaMpole123 njoo uone huyu mtu anasema najua inavuta wateja ILA ukiniuliza vipi ndo sijui hapo.
Yaani judge anakuuliza embu thibitisha kwamba mtu unayemlalamikia ni mwizi halafu unaanza kusema huyu ni mwizi sababu nilisikia ni mwizi lakini mheshimiwa ukiniambia ni mwizi kivipi hapo sasa ndo sijui lakini ni mwizi.
Ndugu Tz mbongo kufeli au kutokujua ni part ya kujifunza. Sina cha kukushauri zaidi ya kukubali ujinga ulionao kichwani .
Oooh basi usiseme unaona...sema unahisi. Coz kuona lazma uone uchawi wenyewe. Huuoni unahisi kutokana na wivu wa maendeleo na uvivu wa kufikiriaMimi siwezi tu kujua hilo kiuhakika kwamba huyu katumia uchawi na huyu hajatumia kama ambavyo unaweza usijue mafanikio ya mfanyabiashara kuwa ni kukwepa kulipa kodi.
Ila tunaona watu wenye kutumia uchawi kwenye biashara.
🤣🤣🤣Bac ukishajua utuambie so far ni hisia zako za wivu na ujinga.Connection ipo kwenye kuvuta wateja na hapo ndipo anapopata mafanikio, sasa ukiniuliza uchawi unafanya vp kuvuta wateja hilo sijui ila nachojua ni kweli uchawi una uwezo wa huo kwa sababu ni kitu ambacho kinafanyika na tunaona athari yake.
Niuone uchawi wenyewe?Oooh basi usiseme unaona...sema unahisi. Coz kuona lazma uone uchawi wenyewe. Huuoni unahisi kutokana na wivu wa maendeleo na uvivu wa kufikiria
Ndio...Sasa huwezi sema mtu anatumia uchawi kwa kuhisi tu kisa anafanikiwa kuliko wewe huo ni wivu na ujingaNiuone uchawi wenyewe?
🤣Yanawakuta wajinga....skia ukijua science vizuri, ukaelewa ubongo vizuri, ukaelewa jamii vizuri and why it believes things that aren't there, huwezi amini na kuogopa uchawi..coz unajua havipo. Vingekuwepo si tungeviona, mbona hatubishani kama Kuna simba...Kama Kuna nyoka... Kama Kuna jua . Tuwe serious bacCHEKA SANAAA, ONGEA SANAAA....ILA JUA HAYAMKUTI MBUZI .
Sawa Ila haupo Sasa....,,🤣🤣🤣nimekuambia jamii nyingi za kizungu haziamini uchawi na zinaishi kwa scientific principles. We umeangalia movie za horror unasema wanaamini zile ni entertainment tu Kama sisi tunavyotengeneza eonii. 🤣🤣🤣We na wajinga wenzako ambao hawana elimu ya Sayansi na jamii ndo mnaamini uchawi. Watu tumeelimika hatuwezi amini vitu ambavyo havipo. Kama uchawi upo...tuonyesheni...Mara mtuambie tukue wakubwa, tukue mpaka lini, Mara mtuambie twende sijui wapi, kwani unachagua sehemu.. 🤣Mbona dar hatusikii uchawi au kisa watu Wana elimu, hela na camera ndo maana unawakimbia unaenda kigoma ..vitu vingine jiongezeUchawo upo dunia nzima watu wanaujua, hata hao wazungu unaowaona wameendelea kwao upo. Wanaishia kukwambia wewe mwafrika una mila za ajabu ilihali kwao zinafanyika kinamna yao kulingana na utamaduni wa kwao. Zile wanazoita spell ni nini?
Hakuna mahali hapa duniani utaenda usikute ushirikina, acha kuongea vitu usivyovijua. Wewe ni brainwashed na si kwamba umeelimika. Hao unawaita madokta maisha yao binafsi wengine unayajua? Hakuna mahala kwenye mabara yote ya duniani wanapokaa wanadamu utakapoemda usiukute uchawi. Upo unafanyika kuendana na mila ma desturi za jamii husika walivyorithi
Sihitaji kujua simu ya mkononi inavyofanya kazi hadi naweza kufanya mawasiliano na mtu ila najua kwamba naweza kuwasiliana na mtu kutoka nchi nyengine kupitia hii simu.🤣🤣🤣Bac ukishajua utuambie so far ni hisia zako za wivu na ujinga.
Im not a specialist in agriculture. Ila hata ukifuatilia china au marekani na Tanzania mnaweza Lima hekari moja we ukavuna kidogo kuliko wao. Ndo maana nakuambia education is power, technology pia, quality factors kibao. Ukikimbilia uchawi unakuwa haujasolve tatizo lako ndo maana Washirikina wengi maskiniKwenye hili nadhani wewe ndio mjinga na mvivu, ntakuuliza swali Moja tu ukinijibu nafuta app ya Jf. Kikawaida natakiwa kupata magunia mangapi ya mpunga Kwa ekari Moja iwapo nitafata watu wa KILIMO BORA ?
Asante na karibu.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app