SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Wat do u mean beyond Sayansi ya Leo...🤣so wametime travel auUchawi sio Miujiza, ni Kanuni na Taratibu zake. Na kwa namna hiyo zina gharama zake, ni sawa na kujua kuwa Dhahabu ni pesa halafu tukuambie kwanini usiende kuchimba ukauze.
Ni Sayansi, Ila tu Wapotoshaji wameamua kuipa jina baya, au kuitangaza vibaya.
Ila ni Sayansi beyond sayansi ya Leo.
🤣Nimesema wenzetu jamii Yao..."jamii" imetoka kwenye hizo dhana. Majority ya watu hawaamini uchawi.... elewa. Huku bado jamii, "jamii" yetu inaamini uchawi. Mfano wake ndo hapa mtu anakuja na Uzi watu waseme uchawi upo na watoe shuhuda... Au unataka kuuliza jamii ni Nini, ili unipotezee mda?Kama umekiri lipo kundi la wazungu wanaoamini uchawi na Afrika pia lipo kundi linaloamini uchawi
Nawewe ulisema wazungu hawaamini uchawi sisi wa Africa ndo tunaamini
HAPA TUKUELEWAJE???
Toa mfano halisi wa scenario nikuelezee. Maana unachosema we chuma ulete mwengine anasema ni utapeli wa kiakili.Hivi uliweza kuelezea ni kwa vp chuma ulete sio uchawi ni wizi tu na unafanyajwe?
Mbona sasa hauelezei ili tupate faida? maana unatumia muda mwingi kupinga na kutudai uthibitisho badala ya kuelezea utafiti wako kwenye uchawi.Ndio... nimefuatilia kutoka kwa shuhuda za watu na pia vitu ambavyo Mimi nimeviona nikagundua ni mambo ya brain activity tu...
Kwanini kila kitu unakimbilia Google ina maana unachoongea huna uhakika nacho?Google that, au tafuta kamusi, mi sio mtaalamu wa kiswahili
Nimeeleza kuhusu sleep paralysis imenitokea Mara kibao naona kawaida nachekelea..Ila jitu lisilo na elimu na limaskini kishirikina anajua ni majini yanamkaba usiku anaenda kwa mwamposa au mganga..kumbe ni biology tu...huo ni mfano mmoja kwangu .coz mi mind yangu ipo too logical ni vigumu Sana kuona kitu na kukitafsiri kuwa uchawi..Sasa kwa watu wengine wameniambia story zao naona ni hallucinations tu..hata muwe 100 coz Portugal waliona jua linacheza cheza na kutoa rangi tofauti zaidi ya watu 3000.. Sasa jua kweli lilifanya hivyo au ni hallucinations tu...so ujue hivi vitu nimefuatilia sana mambo mengi supernatural ni story tu.. hamna loloteMbona sasa hauelezei ili tupate faida? maana unatumia muda mwingi kupinga na kutudai uthibitisho badala ya kuelezea utafiti wako kwenye uchawi.
Haya elezea maana mie ni mtu ambaye napenda kujifunza.
Hana akili mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wew jamaa inaonekana umesoma ilaa tatizo Hujaelimikaa yanii...!!
🤣Mi sio mtaalamu Sasa... usilazimishe nijue definition ya kila neno...maarifa we hujui ni nini au...unanipotezea mda...go to the pointKwanini kila kitu unakimbilia Google ina maana unachoongea huna uhakika nacho?
We nipe hoja...🤣sio unanipa personal attack...nipe hoja uchawi ukuwapi..mbona hatubishi kwamba jua lipo.. mbwa wapo.. dunia ipo...🤣why tubishane maujinga yenu mnayoona wenyeweHana akili mkuu
Hana hoja za msingi na anakwepa point na maswali...Kwenye maandishi yake utagundua kuna ubishi wa kijinga
Kwa hiyo unataka kusema huyu jamaa anayesimulia hapa ana ugonjwa wa akili?Mkuu hii kitu kwako haifit entoptic phenomena ILA hii ni hallucinations.
Mfano kusikia sauti ya mtu analia au anaongea lakini hakuna mtu huyo.
Au kuona mtu au vitu ambavyo hakuna mtu mwingine anayeviona kama vile kuona mtu amesimama karibu nawe lakini kiuhalisia hakuna huyo mtum
Hallucinations huwa inasababishwa na vtu vingi mojawapo ni magonjwa ya akili
Ila entoptic phenomena huwa inasababishwa na muundo wa ndani wa jicho lako.
Nipo wilaya ya Mbarali ambapo shughuli kuu ni kilimo Cha mpunga. Ekari Moja ukiihudumia vzuri kabisa inaweza kukutolea gunia 25-28 za debe Tisa. Ila Kuna miamba inakutolea Hadi 40 ukizingatia kwamba kanuni za ulimaji ni zile zile hakuna mpya Yani unachofanya wewe na Mimi nafanya vilevile au kukuzidi kabisa.
Mara nyingi Hawa jamaa unakuta wanakuwa wa mwisho kutoa mazao Yao shambani, mtatoa woooote yeye anakuwa wa mwisho. Hii kitu sikuwahigi kuielewa but ukiwaza vizuri unaona kabisa kwamba Kuna namna nyuma ya pazia, nayo ni hallucination??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Chuma ulete inajulikana ni wizi wa aina gani ambao unahusishwa na uchawi, mfano wa chuma ulete ni kitendo cha mtu kuja dukani kwako na kununua bidhaa sasa ile pesa aliyokupa ukiichanganya na hizo pesa zako zengine basi sehemu ya kiasi cha hizo pesa zako hupotea kimazingara.Toa mfano halisi wa scenario nikuelezee. Maana unachosema we chuma ulete mwengine anasema ni utapeli wa kiakili.
Watu tukiwaambia hawaelewi wanaona kama utani, waswahili wana mambo mengi sana huko mtaani[emoji23][emoji23]
Mbarali wanaita “kukupa”
Wamechukua mazao yako wireless
Af kuna wale wanakuja kupanda shambani kwako ikifika saa 6 wamemaliza “20” nne af wanawaacha wenzao na “20” moja hadi saa 10
Unaposema jamii zao zimetoka kwenye hizo dhana[emoji1787]Nimesema wenzetu jamii Yao..."jamii" imetoka kwenye hizo dhana. Majority ya watu hawaamini uchawi.... elewa. Huku bado jamii, "jamii" yetu inaamini uchawi. Mfano wake ndo hapa mtu anakuja na Uzi watu waseme uchawi upo na watoe shuhuda... Au unataka kuuliza jamii ni Nini, ili unipotezee mda?
Nimetuma video ya yule dada na naweza kutuma nyingi zaidi ila hujaniambia kitu gani kinakufanya uone yale ni maigizoWe nipe hoja...[emoji1787]sio unanipa personal attack...nipe hoja uchawi ukuwapi..mbona hatubishi kwamba jua lipo.. mbwa wapo.. dunia ipo...[emoji1787]why tubishane maujinga yenu mnayoona wenyewe
Im not a specialist in agriculture. Ila hata ukifuatilia china au marekani na Tanzania mnaweza Lima hekari moja we ukavuna kidogo kuliko wao. Ndo maana nakuambia education is power, technology pia, quality factors kibao. Ukikimbilia uchawi unakuwa haujasolve tatizo lako ndo maana Washirikina wengi maskini
Ndugu endelea kumuomba sana Mungu wako yasikukute,uchawi ni halisia na upo kabisa,kuna mdau kaongelea swala la matibabu yakuvunjika mfupa,mimi nimeshuhufia bukoba huko,jamaa alivunjika nyonga,amekaa hospitali miaka mi 3,kaoelekwa kwa huyo bibi,wiki mbili tu kawa sawa, tena hata jeraha halijaguswa,kingine mimi mwenyewe nimeshuhudia usiku natoka babati nakwenda singida,ktk ya barabara nikashuhudi fisi mkubwa kama tembo yaani tena amejaa barabara nzima na mvua inapiga,kwemye gari nimebeba familia nzima,siku simama nikapita naye,gari ilitikisika tu na kishindo kiasi,nimefika singida naangalia bonet hakuna hata mkwaruzo,chaajabu wife na mdogowake waliliona hilo fisi,sasa je utasema tulikuwa na mawazo woote???Nimeeleza kuhusu sleep paralysis imenitokea Mara kibao naona kawaida nachekelea..Ila jitu lisilo na elimu na limaskini kishirikina anajua ni majini yanamkaba usiku anaenda kwa mwamposa au mganga..kumbe ni biology tu...huo ni mfano mmoja kwangu .coz mi mind yangu ipo too logical ni vigumu Sana kuona kitu na kukitafsiri kuwa uchawi..Sasa kwa watu wengine wameniambia story zao naona ni hallucinations tu..hata muwe 100 coz Portugal waliona jua linacheza cheza na kutoa rangi tofauti zaidi ya watu 3000.. Sasa jua kweli lilifanya hivyo au ni hallucinations tu...so ujue hivi vitu nimefuatilia sana mambo mengi supernatural ni story tu.. hamna lolote
Yani katika vitu vingi ulivyofuatilia umeeleza kimoja tu cha sleep paralaysis basi ila unatumia muda mwingi kudai uthibitisho na kusema ni hallucinations tu, kwanini usitumie nafasi hii kueleza zaidi hayo uliyoyafuatilia na ukayatolea maelezo ni kwa vp si uchawi kama wanavyoamini?Nimeeleza kuhusu sleep paralysis imenitokea Mara kibao naona kawaida nachekelea..Ila jitu lisilo na elimu na limaskini kishirikina anajua ni majini yanamkaba usiku anaenda kwa mwamposa au mganga..kumbe ni biology tu...huo ni mfano mmoja kwangu .coz mi mind yangu ipo too logical ni vigumu Sana kuona kitu na kukitafsiri kuwa uchawi..Sasa kwa watu wengine wameniambia story zao naona ni hallucinations tu..hata muwe 100 coz Portugal waliona jua linacheza cheza na kutoa rangi tofauti zaidi ya watu 3000.. Sasa jua kweli lilifanya hivyo au ni hallucinations tu...so ujue hivi vitu nimefuatilia sana mambo mengi supernatural ni story tu.. hamna lolote
Nimekwambia hivi kama utawaambia watu huko mtaani wakielezee jinsi vifaa vyao vya umeme vinavyofanya kazi wengi hawatoweza kueleza hawajui ila wanavitumia hivyo vifaa na vinafanya kazi, ila wewe hapa unanilazimisha mimi kujua na kuelezea jinsi uchawi unavyofanya kazi. Kuna mimea kama afrika tunaitumia kitiba katika tiba zetu za asili ila hatujui inafanyaje kazi na mengine haina maelezo ya kisayansi kuelezea ni kwa vp inatibu.
Kwahiyo hapa kuna vitu viwili, ukweli wa uchawi kuwa unaweza kuleta athari hiyo kusudiwa na maelezo ya vp uchawi unavyofanya kazi.
Kwa hiyo unataka kusema huyu jamaa anayesimulia hapa ana ugonjwa wa akili?