Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Wakuu mnapoteza muda kubishana na madogo waliokuwa brainwashed na sayansi i ya mzungu, hapo wamefunga Shule wapo kwa mama zao wanasubiri ugali wa shkamoo, hawajatembea mikoa ya watu kujionea. Nashauri mngewaacha na upumbavu wao ipo siku watakutana navyo.
Kiufupi hii mada ni out of their mental scope, bado hawajaunlock the specific part of their brain consciousness yakuwawezesha kuona beyond the naked eyes, kwa hiyo hili swala la uchawi japo mi napenda kuliita 'energy manipulation' its beyond their reality.
Hakuna binadamu ninayemdharau na kumuona fala kama hawa wasomi waliopofushwa na story za wazungu kuhusu sayansi, ni miongoni mwa watu wenye low level thinking capacity, na hata darasani huwa wanajifanya wajuaji lakini huwezi kuwakuta miongoni mwa wanafunzi wanaosifiwa kuwa na akili.
Wenye akili za kuzaliwa kwanza by nature wanazaliwa tayari wakiwa talented yaani kuna part za ubongo zishakuwa unlocked tangu wakiwa wa dogo, wanakuwa na uwezo wa kuona vitu visivyoonekana kwa macho ila huwa wananyamaza kuogopa kuonekana watu waajabu au kuhisiwa wamedata.
Tofauti na hawa madogo walioangalia muvi za NASA na vidocumentary uchwara vya youtube huwa wanajiona wafuasi wakuu wa sayansi ila kumbe ni illusion zao tu za ushamba wa jinsi natural forces zinavyofanya kazi they have no clue at all, nashauri tuendelee kupeana visa visanga hawa madogo tuwapuuze wakikua wataelewa.
Ni sawa na mtoto mdogo anazaliwa hajui kuongea lakini baada ya muda anajua na kuweza kuinteract na jamii. Hawa inaelekea kuna parts za ubongo wao zimekuwa underdeveloped hivyo si rahisi kuyaona mambo wanayoyaona watu talented by birth. Jiulize isingekuwa shule hawa wangekuwa watu wadesign gani kwenye jamii, wasingeweza kutumia akili za kuzaliwa kusolve matatizo yao hivyo ni either wangeishia kuwa tabaka la watumwa au wangeperish away within few days.

Nimesoma PCM ila story za sayansi za mzungu naziona mavi kama nnavyowaona wafuasi wa story hizo.
 
🤣🤣🤣Sasa si watu wote wangeenda kwa bibi yako...muhimbili si ingefungwa Kama ndo hivyo...vitu vingine tumieni akili bac. We bana uje na uthibitisho la sivyo ni story tu za mtaani
 
Huna mfano halisi...fanya research...mi Sina duka..ila mjomba wangu anaduka hayo Mambo hayapo...ni story tu za mtaani. Kama una real evidence ya sehemu na situation hio onyesha na independent source
 
Jamii za kizungu zipi hizo
Yaani Kama unavyosema jamii ya kibongo tuna sifa za kuamini dini, kukataa ushoga, kuamini uchawi, etc...jamii za wazungu si nazo Zina sifa za kuweka Sayansi mbele... hujawahi skia misemo "mzungu wa roho", "mzungu noma" etc ndo nachomaanisha mzungu anajulikana Kama mtu ambae ana maendeleo na akili
 
🤣Ndio...mkiwa na uthibitisho leta
 
🤣Aaaah we noma...bac giants vampires Santa Claus Easter bunny mermaids demons spirits ghosts big foot etc wote wapo....🤣🤣🤣hoja yako ni ya kitoto Sana...ya kitoto Sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha kwanza hunijui...hujui performance yangu shuleni ilikuwaje hujui nafanya kazi gani now...so nyamaza sawa...we mtoto mdogo Sana.
🤣🤣🤣🤣Na wewe umerudi kule kule Mara mikoa...Mara hawajafika umri Mara ubongo unlocked...🤣bac naomba funguo ni unlock ubongo wangu na mi nimuone jini 🤣🤣🤣skia mwanangu ukiwa na hoja utanishtua..naona umeandika Sana nikajua utaleta proof ya uchawi kumbe na wewe unaleta mambo Yale Yale. Hatubishani jua mbuzi au hata bacteria hawaonekani ila hatubishani. 🤣🤣pcm hovyo...soma hata biology ndo utaelewa zaidi why ubongo wako unaona maruweruwe afu wengine wenye good mental state hatuoni..sawa chizi bot
 
Kama hayo yote unayoyasema ni Hallucination, je ni hallucination ya aina gani?
 
Ha
🤣🤣🤣Sasa si watu wote wangeenda kwa bibi yako...muhimbili si ingefungwa Kama ndo hivyo...vitu vingine tumieni akili bac. We bana uje na uthibitisho la sivyo ni story tu za mtaani
Wala sio bibi, ni vijana wadogo tu wenye ujuzi na maarifa hayo.
Ni wengi wanaenda hata Mimi nilienda na mgonjwa wangu, ni wengi sana. Mnaoteseka ni ninyi mliokosa maarifa, na mwishowe mnabaki kuwa vilema au kukatwa miguu kabisa.

Uvivu wenu wa kufikiri utawagharimu mpaka vizazi vyenu. Tokeni humo kwenye boksi la dini na Sayansi. Mtateseka sana.
 
M Maandishi yako yanaweka wazi kilichomo kichwani mwako... Habari za hunijui si hoja ndugu.
Tambua IPO Sayansi beyond hii ya Darasani, na hata waliokuletea hii wanajua hilo, Ila hawatakuruhusu uijue ili uendelee kuwa mtumwa mtiifu kwao.
 
Mwandiko wako tu unasadifu we ni mtu wa namna gani, watu wa design yako wanajulikana vizuri tu hiyo sayansi unayojifanya kuijua huijui hata chembe,
mtu mwenye akili timamu hawezi kujichekesha kila saa kwa emoji hizo ni dalili za upinde, pita hivi katawaze kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…