Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Kila nikimuona Daktari Babu Talle bungeni naamini uchawi upoKila nikiona ccm ina wafuasi naamini uchawi upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikimuona Daktari Babu Talle bungeni naamini uchawi upoKila nikiona ccm ina wafuasi naamini uchawi upo
Niende nikagundue nini?Ulishawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji?
SawaIpo na si Yupo.
🤣🤣🤣Sasa si watu wote wangeenda kwa bibi yako...muhimbili si ingefungwa Kama ndo hivyo...vitu vingine tumieni akili bac. We bana uje na uthibitisho la sivyo ni story tu za mtaaniUnataka nani sasa akuthibitishie shaka yako?
Nilishakupa nafasi, kama una mgonjwa wa kuvunjika mifupa ya mwili wake, nitafute nitakupeleka kwa mnayemuita mchawi, ambaye atamtibu mifupa yake bila kugusa mwili wa mgonjwa(si kwa dawa wala mikono). Ukishuhudia hilo, nitaomba uiulize Sayansi yako kanuni za kutokeajambo hilo, uoneka kama itakujibu.
SawaHapo ndo uangalie shetan yuko kazin na mungu yukl kZin
Huna mfano halisi...fanya research...mi Sina duka..ila mjomba wangu anaduka hayo Mambo hayapo...ni story tu za mtaani. Kama una real evidence ya sehemu na situation hio onyesha na independent sourceUnaona umeishia kupinga kuwa sio kweli ni story tu na kutaka nithibitishe, nilidhani kwa kuwa wewe umefuatilia sana hizi story za uchawi na kugundua sio kweli basi ungekuwa na cha kuelezea ni vp hicho kinachoaminiwa kama ni chuma ulete sio uchawi kama watu wanavyoamini bali ni aina tu ya wizi wa kawaida au makosa tu ya kimahesabu ambayo mtu mwenyewe hufanya.
NdioBinafsi sikatai kuhusu kuwepo tricks katika maonyesho ya mazingaombwe nishaona sana ila swali langu ni je mazingaombwe kiujumla ni tricks tu?
Yaani Kama unavyosema jamii ya kibongo tuna sifa za kuamini dini, kukataa ushoga, kuamini uchawi, etc...jamii za wazungu si nazo Zina sifa za kuweka Sayansi mbele... hujawahi skia misemo "mzungu wa roho", "mzungu noma" etc ndo nachomaanisha mzungu anajulikana Kama mtu ambae ana maendeleo na akiliJamii za kizungu zipi hizo
🤣Ndio...mkiwa na uthibitisho letaMimi nataka kujifunza kwako sitaki kuleta story ili upinge tuanze kubishana, watu washatoa story kibao humu ila umeishia kupinga kwa kusema sio uchawi na kuwaambia wathibitishe kama ni uchawi. Sasa hapo hakuna tunachojifunza kutoka kwenye uelewa wako katika hili suala maana wewe unaishia tu kupinga na kudai uthibitisho yani hivyo tu basi.
Yani kwa ufupi ni kwamba wewe hauamini tu uchawi basi.
🤣Aaaah we noma...bac giants vampires Santa Claus Easter bunny mermaids demons spirits ghosts big foot etc wote wapo....🤣🤣🤣hoja yako ni ya kitoto Sana...ya kitoto SanaKila kilichopo kwenye lugha za watu husika basi hicho kitu kipo au kimewahi kuwepo kwa hiyo jamii. Lugha huakisi uhitaji wa jamii mfano; waswahili tuna chakula kitokanacho na kusagwa kwa mbegu za mahindu(ugali) wengine kama wazungu hawana kitu hicho ndo maana lugha yao haina tafsiri ya chakula ugali.
Hivyo basi, roho ni kitu ambacho jamii nyingi zimekubali kuwepo kwake...mtu akifariki wanasema amekata roho (roho ni nini? Unaithibitishaje?) Je, kwa kuwa hakuna namna ya kuthibitisha roho hivyo tuseme ni jambo ambalo halipo? Wengine tumeshuhudia mazingaombwe (achana na yale ya wazungu ya kuzuga akili). Mtu unaona anatokewa macho kabisa! Mtu anacha papers zinabadilika kuwa pesa! Ukisema nithibitishe, nawezaje wakati it's like another dimension operation ambayo mimi siingii ndio maana nashangaa!?
Kama wazungu leo wanaishi proved science, haimaanishi hawajawahi ishi katika uchawi maana wana maneno yenye kuakisi uchawi, kwanini yapo kwenye lugha zao?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha kwanza hunijui...hujui performance yangu shuleni ilikuwaje hujui nafanya kazi gani now...so nyamaza sawa...we mtoto mdogo Sana.Wakuu mnapoteza muda kubishana na madogo waliokuwa brainwashed na sayansi i ya mzungu, hapo wamefunga Shule wapo kwa mama zao wanasubiri ugali wa shkamoo, hawajatembea mikoa ya watu kujionea. Nashauri mngewaacha na upumbavu wao ipo siku watakutana navyo.
Kiufupi hii mada ni out of their mental scope, bado hawajaunlock the specific part of their brain consciousness yakuwawezesha kuona beyond the naked eyes, kwa hiyo hili swala la uchawi japo mi napenda kuliita 'energy manipulation' its beyond their reality.
Hakuna binadamu ninayemdharau na kumuona fala kama hawa wasomi waliopofushwa na story za wazungu kuhusu sayansi, ni miongoni mwa watu wenye low level thinking capacity, na hata darasani huwa wanajifanya wajuaji lakini huwezi kuwakuta miongoni mwa wanafunzi wanaosifiwa kuwa na akili.
Wenye akili za kuzaliwa kwanza by nature wanazaliwa tayari wakiwa talented yaani kuna part za ubongo zishakuwa unlocked tangu wakiwa wa dogo, wanakuwa na uwezo wa kuona vitu visivyoonekana kwa macho ila huwa wananyamaza kuogopa kuonekana watu waajabu au kuhisiwa wamedata.
Tofauti na hawa madogo walioangalia muvi za NASA na vidocumentary uchwara vya youtube huwa wanajiona wafuasi wakuu wa sayansi ila kumbe ni illusion zao tu za ushamba wa jinsi natural forces zinavyofanya kazi they have no clue at all, nashauri tuendelee kupeana visa visanga hawa madogo tuwapuuze wakikua wataelewa.
Ni sawa na mtoto mdogo anazaliwa hajui kuongea lakini baada ya muda anajua na kuweza kuinteract na jamii. Hawa inaelekea kuna parts za ubongo wao zimekuwa underdeveloped hivyo si rahisi kuyaona mambo wanayoyaona watu talented by birth. Jiulize isingekuwa shule hawa wangekuwa watu wadesign gani kwenye jamii, wasingeweza kutumia akili za kuzaliwa kusolve matatizo yao hivyo ni either wangeishia kuwa tabaka la watumwa au wangeperish away within few days.
Nimesoma PCM ila story za sayansi za mzungu naziona mavi kama nnavyowaona wafuasi wa story hizo.
Kama hayo yote unayoyasema ni Hallucination, je ni hallucination ya aina gani?Hallucinations ni uzoefu usio wa kawaida wa kuona, kusikia, au kuhisi vitu ambavyo havipo kimwili au kwenye mazingira halisi.
Halafu tazama sentensi yako sikuwa "stressed kihivyo"
Mkuu analyse mimi binafsi huwa siamini uchawi wala uwepo wa mungu.
Hata mimi hallucinations nisha experience na siyo lazima uwe stressed unaweza kuwa kuwa ecstatic na BADO hii hali ikakupata.
Na wachache naowafahamu waliopitia HALI hii huwa kuna vitu vinaendelea kwenye maisha yao havipo Sawa.
Sasa unatoa wapi hoja zako kuwa Tiba Asilia ni Sayansi kama hiyo yako ya makaratasi?Niende nikagundue nini?
Wala sio bibi, ni vijana wadogo tu wenye ujuzi na maarifa hayo.🤣🤣🤣Sasa si watu wote wangeenda kwa bibi yako...muhimbili si ingefungwa Kama ndo hivyo...vitu vingine tumieni akili bac. We bana uje na uthibitisho la sivyo ni story tu za mtaani
Thibitisha kisayansi yanatokeaje!Ndio
Maandishi yako yanaweka wazi kilichomo kichwani mwako... Habari za hunijui si hoja ndugu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha kwanza hunijui...hujui performance yangu shuleni ilikuwaje hujui nafanya kazi gani now...so nyamaza sawa...we mtoto mdogo Sana.
🤣🤣🤣🤣Na wewe umerudi kule kule Mara mikoa...Mara hawajafika umri Mara ubongo unlocked...🤣bac naomba funguo ni unlock ubongo wangu na mi nimuone jini 🤣🤣🤣skia mwanangu ukiwa na hoja utanishtua..naona umeandika Sana nikajua utaleta proof ya uchawi kumbe na wewe unaleta mambo Yale Yale. Hatubishani jua mbuzi au hata bacteria hawaonekani ila hatubishani. 🤣🤣pcm hovyo...soma hata biology ndo utaelewa zaidi why ubongo wako unaona maruweruwe afu wengine wenye good mental state hatuoni..sawa chizi bot
Mwandiko wako tu unasadifu we ni mtu wa namna gani, watu wa design yako wanajulikana vizuri tu hiyo sayansi unayojifanya kuijua huijui hata chembe,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha kwanza hunijui...hujui performance yangu shuleni ilikuwaje hujui nafanya kazi gani now...so nyamaza sawa...we mtoto mdogo Sana.
🤣🤣🤣🤣Na wewe umerudi kule kule Mara mikoa...Mara hawajafika umri Mara ubongo unlocked...🤣bac naomba funguo ni unlock ubongo wangu na mi nimuone jini 🤣🤣🤣skia mwanangu ukiwa na hoja utanishtua..naona umeandika Sana nikajua utaleta proof ya uchawi kumbe na wewe unaleta mambo Yale Yale. Hatubishani jua mbuzi au hata bacteria hawaonekani ila hatubishani. 🤣🤣pcm hovyo...soma hata biology ndo utaelewa zaidi why ubongo wako unaona maruweruwe afu wengine wenye good mental state hatuoni..sawa chizi bot