Yeyote asiyeamini uchawi upoo ujue Hana Mungu...Jamani kama huamini uchawi upo embu tulia basi usiharibu uzi.Kutwa kushupalia kila story ya kila mtu alf mtu mwenyew unakuta kazaliwa mjini na kakulia mjini ila unavyokomaza shingo utadhani unajua kila kitu.Huamini tulia hulazimishwi acha watu waandike story zao mnaharibu uzi!
Article na daily news wapi na wapi?. Haya hiyo article ethnography imefanywa muda Gani na methodology ilikuwa ipi wakati wanaenda kuifanyia tafiti?Nimekutumia video dr richard sambaiga, cristine noe palanjo BADO wanaogea umebisha nimekutumia article toka daily news wakiwa quoted walichoongea BADO unabisha
Nilikwambia wewe ni scammer kubali.
Tutatoa elimu msiendelee kuwaibia watu.
Article na daily news wapi na wapi?. Haya hiyo article ethnography imefanywa muda Gani na methodology ilikuwa ipi wakati wanaenda kuifanyia tafiti?
π€£π€£π€£ Nijibu swali...why uchawi unachagua watu ambao ni maskini na wajinga? Yaani me mpaka niwe maskini na mjinga ndo nitaona uchawi..it shows clearly haupo ni imaginationWe jamaa unakua mgumu sana sabab hujajiandaa kuelewa. Uchawi upo... Ukikaa umaskinin ndo utauona mana maskini Wana vita za wenyewe Kwa wenyew. We ukitaka uaminif nenda umakondeni huko ndo utakuja hapa kusema neno.
Mana hujawahi kukutana nao ndo mana huamini. Ni kama mungu tu
π€£π€£π€£Ndo ujinga wenyewe. Kwa sababu vitabu vya dini vinaamini uchawi, na mmedanganywa ni vya Mungu so lazma muamini uchawi. Nishasema makosa kibao kwenye vitabu vya dini post ya 653Na kama unaamini mungu yupo Kwa nn usiamini uchawi? Mana mungu kauzungumzia uchawi pia
ππππUna uhakika alifanya hivi vitu...mbona hamna ushahidi nje ya Biblia kwamba hivi vitu vimetokea.. nikikuambia na Krishna alizaliwa kwa bikra na alifufuka je. Na Krishna kaja kabla ya Yesu Sasa...zote ni story tu za mababuHata Yesu kutembea juu ya maji fizikia inakataa, Musa kugawa bahari sayans inagoma pia. Kufunga siku 40 bila kula kunywa chochote sayans inagoma. Yesu kupazwa angani inakataa pia. Aloo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
π΄Ondoa ubongo.... ubongo ni akili..Ondoa ubongo Kama utaishi.Safi, ukipata matatizo ya akili huwezi kupumua? Huwezi kula? Huwezi kulala? Neurology inasema kwamba mwenye matatizo ya akili hasikii njaa eeeh! Si ndo ulivyovitaja!? Teh
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
That's not manticized in such way. Maskini sio wajinga. Uchawi unaendana na husda yan wivu wa kimaisha na kupinga maendeleo. Class la matajiri hawana muda wa kukuonea husda sabb Wana vyao. Wew ukitaka kujua upo au haupo.... Kaishi MTWARA NA WAMAKONDEπ€£π€£π€£ Nijibu swali...why uchawi unachagua watu ambao ni maskini na wajinga? Yaani me mpaka niwe maskini na mjinga ndo nitaona uchawi..it shows clearly haupo ni imagination
πππSawa naomba unitumie research Yake hapa wote tuisome... until then ni story za mtaani tuWatu waliofanyia research uchawi wapo.. chuo kikuu Cha Daresalaam kimefanya tafiti hzo. Na uchawi upo wa aina KUU mbili. Upo unaohusisha object za mtu husika kama Uzi wa nguo anazovaa, nyayo nk. Kuna mwingine wanakutengezea object yenye kiumbo Cha mtu na kukitaa jina lako. Wakikivunja mguu na wewe unavunjika.
Yupo lekcha Udsm aliwahi kuanguka na ungo shinyanga akifanya study za kiethnografia na wachawi
ππ Tunaondoa ujingaMmetuhalibia Uzi aixee,mmejaza comment zenu ,sahiz hatuoni testimony zozote mnazingua
Ndio...ulaya walikuwa wanachoma wabibi wanaohisi ni wachawi...πila waliacha, why, coz wameelimika hamna uchawi...πππSasa wewe sema tu walikuwa, ni zamani 1600s 1700s, now wameendelea kifikra ndo maana hawaamini uchawiUchawi unazuaga taharuki mana unaonekana kikwazo Cha maendeleo ngazi ya mtu mmoja mmoja. Mbona hata ulaya witchfinder walikuwepo. Watu waliuana sana na wachawi walisakwa kama njegele... Uchawi upo wakuu
π΄π΄sawa mgangaZaid ya ushindani ubishi sipotezi muda wangu
πππHata wewe unaweza kuandika kitabu Cha mashoga ila haimaanishi bongo inasapoti bongo..kule Kuna uhuru ukitaka uwe atheist sawa satanist sawa mlokole sawa mshirikina. Ila majority of them hawaamini uchawi, na research zimefanyika. Except america coz america Kuna watu wengi wa background tofauti Asia, Africa, Europe, south America etc so hivyo.. lakini countries Kama Sweden France wanaoamini uchawi ni wachache Sana..we umepata vitabu coz of course vipo Ila haimaanishi ndo majority view ya jamii Yao...πelewa bacMara kibao nasema kuwa wazungu(jamii ya waliyoelimika) wana vitabu vingi vyenye kufundisha na kuelezea uchawi na wana elimu tofauti na sisi.
Unalijua hilo?
π Sikuelewi mkuu unaongea niniKama ujinga unao ma tr akon mwako
πππππAcha kurudi nyuma...hata wewe ulikuwa hujui mvua inasababishwaje, hujui dunia inazunguka jua, hujui radi inasababishwaje, so for a tym ulijua ni miujiza, Mungu au wachawi ila now si una elimu...Sasa mi nimeongolea mwaka 1200 au 2023...πAcha kujikosha bacHuyu utabishana nae tu. Wazungu wenyewe wanaomuaminisha huyu kuhusu uwepo wa sayansi uchawi wanaujua na uliwasimbua sana miaka hiyo.
Wafalme waliajiri watu wasake wachawi mitaani na kuwaua. Mana uchawi na maendeleo haukai sehem moja
π Matusi ya Nini, leteni hoja nawasubiriMsenge tu huyo
πEvidence?Sasa Mimi nimeshawahi kurogwa na mzungu
πNdo usitupangie Sasa...wewe Kama huelewi nature.. huelewi biology..usitutishe kwamba ni uchawi..ni ukosefu wa maarifaSikulazimishi uamini au usiamini ila nacho weza kusema tu ni hv achana na post zangu coz kubishana naww siwez na kila mtu anaiman yake
π Nasubiria hojaHili jamaa ni lisenge tu