Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Skia we si mchawi...fanya hayo madude ukiwa kwenu..nikipata tumbo kiroba nitakuamini
Nimekwambia kwamba cheka fanya ujinga wako Ila kumbuka nilichokwambia Mungu na uchawi vipo km unasema havipo subiri ukiwa unajitafuta upigwe tukio na mkishapigwa tukio hua mnalia sana mnajiliza sana Ila ni viburi sana watu km nyinyi mkishafikwa mnaanza kuomba msaada but deep inside ni viburi wa uhai mmejaa viburi vya kufikiri kwamba mmejiumba wenyewe mkidhani hakuna mwenye uweza zaidi yenu Ila tu ukishapigwa tukio ukaanza kutangatanga huna muelekeo ndio unaanza kujiliza na hua mnalia sana na mnasaga meno
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Okay bac kwa sababu una hama mada..mi nakuambia ukiamini kwamba nyoka ameongea akampa mwanamke tunda akala ndo shida zikaja duniani afu seremala akaja kutembea juu ya maji na kufufua watu na yeye kafufuka afu atarudi baadae na ukiamini unaenda kwa Mungu mawinguni usipoamini unaunguzwa...๐Ÿ˜‚ Ukiamini hivi... automatically unaweza amini chochote duniani...hata uchawi..ndo maana wakristo mkiambiwa mkae njaa mpaka Yesu arudi mnakaa..mkiambiwa mchangie mchungaji gari mnampa...๐Ÿ˜…yaani ujinga tu
Wewe una kiburi cha uzima ndugu don't show that on public utafanywa vibaya nakuhurumia sana utaadhibiwa kwa upumbavu wako

Maana wewe sio mjinga Ila wewe ni mpumbavu mwenye kiburi cha uzima yaan unajua kabisa nikivuta sigara nitachoma mapafu na yatajaa maji na mwisho nitaumwa cancer

Ila kwa makusudi kabisa siku nzima unavuta pakti 3/4 za sigara ukisema hazita kufanya chochote kwani sigara ni kitu gani si Moshi tu

Ukianza kuumwa unaanza kuwasumbua watu kwa upumbavu wako
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Niambie bac kitu gani kimetokea realistic dunia..afu mi siwezi kukielewa
Duh! Sijui hata unaongea nini dogo.

Nilikuwa nazungumzia issue ya watu kutumia sayansi kuhalalisha misimamo yao ambayo si ya kisayansi au kufanya sayansi ni kichaka ya mitazamo yao binafsi.

Sasa hukunielewa ukaja kuelezea vitu tofauti sijui ng'ombe akipaa ndio uchawi, hiyo sayansi yako ya kuendesha bicycle.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jamani elewa jinns ni from ancient Arabia... Muhammad kuleta dini yake na yeye kawatia humo humo...jamii zingine inaamini supernatural things lakini hawaitwi majini. Ukitaka kujua jinns ni Nini angalia Alladin
Dogo hivi hapa unazungumzia utofauti wa majina na lugha au aina ya viumbe?

Hebu basi eleza jinn ni nini na hizo jamii zengine hivyo wanavyoamini ni nini?
 
Tulia tujadili taratibu wala usiwe na mchecheto, suala la matapeli wapo hadi matabibu matapeli na madaktari feki. Wewe binafsi umewahi kusoma kuhusiana na Psychic reading?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jamani...bac skia tusave tym..we ongea kuhusu psychic reading mpaka uchoke .ukimaliza utaniambia nitakujibu..
 
Duh! Sijui hata unaongea nini dogo.

Nilikuwa nazungumzia issue ya watu kutumia sayansi kuhalalisha misimamo yao ambayo si ya kisayansi au kufanya sayansi ni kichaka ya mitazamo yao binafsi.

Sasa hukunielewa ukaja kuelezea vitu tofauti sijui ng'ombe akipaa ndio uchawi, hiyo sayansi yako ya kuendesha bicycle.
Mfano upi...leta mfano nikuelezee Sayansi
 
Dogo hivi hapa unazungumzia utofauti wa majina na lugha au aina ya viumbe?

Hebu basi eleza jinn ni nini na hizo jamii zengine hivyo wanavyoamini ni nini?
Jinni ni supernatural fanfiction made in ancient Arabia...Kama Zeus Greek, Yahweh Israel..
 
๐Ÿ˜‚Bac sawa...ur point is? Uchawi vipi Sasa?
Sasa nashangaa mnapokuja na hoja za sijui vitu ambavyo watu hawakuvielewi huko zamani wakasema ni uchawi ila sayansi ndio ikaja kuelezea, mara sijui sayansi inabadilika ila wanaoamini uchawi hawabadiliki.

Mimi leo naweza nikahusisha kitu fulani na uchawi ila huo wawezakuwa ni mtazamo wangu haina maana uchawi ndio unasema hivyo, sasa hauwezi kuja kuhitimisha kwamba uchawi ni uongo kwa sababu mimi niliamini kitu hicho ni uchawi kumbe sivyo.

Kwahiyo tunapotaka kujadili uchawi hili suala tulizingatie.
 
Najua hii ingeenda viral share nami link ya video nikaangalie.

Halafu watu wangapi wamevunjiwa kwa kutolewa kwa nguvu na pesa wengine hawakulipwa na hatujasikia hizo stori? Unafikiri kungekuwa na mechanism ambayo inaweza kuzuia jambo kama hilo wangapi wangezuia?
Uko sahihi sana, ila usikatae hii dunia ina mambo mengi sana, hapa JNIA upanuzi wa terminal 3 ilibidi wakazi wa kipawa wapoteze makazi yao, lilitokea tukio kama hili kuna babu aligoma nyumba yake isivunjwe ilibidi uongozi wa halmashauri ya jiji kuja kumsihi, tukubaliane tu kuna upande wa dunia kila mmoja wetu hajaona kutokana tu na sababu za kimazingira, malezi n.k
 
๐Ÿ˜‚Nijibu swali uchawi unachagua maskini na wajinga? Kuna umri na sehemu ya kuona wachawi? Mbona hatubishani kama jua lipo? Ukisema ulimwengu wa roho, Kuna tofauti gani ya ulimwengu wa roho na kitu kuwa Cha kutungwa au hakipo?
Kuhusu uchawi na ujinga hili tumeshaona kuwa hata huko wenzetu wenye elimu pia wapo huamini uchawi,astrology,ndoto n.k tena wanaweka kwenye vitabu na wana madarasa kabisa ya kufundisha.

Unaposema kuona uchawi hasa unakusudia kuona nini ? ni athari ya huo uchawi au kile chenye kuaminika huleta athari ya huo uchawi ama nini hasa? Maana hata vile vifaa vya kurogea navyo huitwa uchawi pia.

Jua kuwepo na tukaliona haina maana kila kilichopo kina asili ya kuonekana kuna vitu vipo na hakuna ubishi ila havina sifa ya kuonekana, sijui kwa nini hata unatumia hoja ya kuona hapa?
 
๐Ÿ˜‚Disney si wajinga... wametengeneza movie kutokana na Imani ya jinns ambayo ipo in the Arab world...๐Ÿ˜‚ni kama little mermaid. Imani ya kuamini mermaids zipo ndo maana movie inatengenezwa...๐Ÿ˜‚Kama vampire diaries etc
Kauka usifanye kila mtu akagundua utoto wako potezea hilo jambo, unazidi kuharibu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jamani...bac skia tusave tym..we ongea kuhusu psychic reading mpaka uchoke .ukimaliza utaniambia nitakujibu..
Haujajibu swali nililokuuliza na hii ina maana wewe binafsi hujawahi kusoma hivyo vitu ila unakimbilia kuchukua upande wa kupinga kwa kutumia mitazamo ya wengine bila mwenyewe kujiongezea maarifa kwa kusoma na kujua kilichomo, na hili ndio tatizo lenu kubwa yani mmeweka mbele misimamo ya kupinga vitu kuliko hata kuelewa hivyo mnavyovipinga vyewe.

Penda kujisomea uongeze maarifa usipende kushikilia misimamo tu, binafsi nasoma hadi yale nisiyoyaamini.
 
Back
Top Bottom