Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Wewe ni KITUKO. Nilishakuambia unachoita UCHWAWI ni Hesabu kamili, zina Laws na Principles.
Umeng'ang'ania Uchawi hauna mipaka, huo usio na mipaka ni Uchawi wenu labda na hao wanaokupofusha.

Shida unapenda sana stori za vijiweni na kufanya hitimisho, Ungekuwa mwerevu ungetafuta ushahidi wewe mwenyewe.

Wewe ni Mtumwa! Unatia aibu tu hapa. Nenda kijiweni ukakusanye matango pori mengi juu ya uchawi uje usimulie watoto wako.
 
Yarushe huku...😂uchawi una mipaka kwani? Mi siwezi poteza nauli yangu kumtafuta chizi
Nilishakuambia unachoita Uchawi kina KUTEGA NA KUTEGUA, Kina Kanuni na Sheria zake.

Haya, Kacheze na watoto wenzako!
 
Uzi unavyo jieleza na mbweha moja inayo endelea kupinga tuachane nayo, em tuendelee na uzi wetu akikutag unaachana nae. Watu wengi humu tunakutana na vitu ambavyo unaona kabisa ni uchawi yeye anapinga kudadadeki tuendelee na uzi wetu tusimjali.
 
Oya nyie wanasayansi uchwara, tuachieni thread basi shuhuda ziendelee.
 
Uzi umevamiwa na mabwabwa ya upinde nashauri tuyapuuze afu tuendelee na simulizi zetu.
Hauwezi kumuminisha mtu kitu kitu kisichoonekana na wakati hata jinsia yake anayoiona haiamini.
Tunavyoyajibu ndo tunayapa nguvu za kubishana maana yashazoea michambo vibarazani si unaona cheka zao hizo za michambo.
 
Bac...sawa coz tunazidi kuprove kuwa kila kitu sio uchawi ni ukosefu wa maarifa juu ya kitu...then tuonyeshe uchawi wenyewe uko wapi...
Nimekwambia uchawi wenyewe ni maarifa, nikikwambia unionyeshe sayansi utanionyeshe nini?
 
Kwahyo jamaa anatuaminisha kwamba yeye ni mzungu kasoma? [emoji1787][emoji1787]
 
Hao unaowasema wameendelea, Wana mpaka group na page za hayo mambo ya uchawi
 
Kwahyo jamaa anatuaminisha kwamba yeye ni mzungu kasoma? [emoji1787][emoji1787]
Jamaa anasema waafrika hawana elimu ndio maana wanaamini mauchawi, yeye anajiweka kundi moja na wazungu.
 
Acha kutuona sisi ni watoto wenzio
 
Bac sawa...we tupe uthibitisho Sasa...mbona huna
 
🤣🤣🤣Upande wa pili ni Nini, astrology ni pseudoscience, hio sijui psychic reading ni pseudoscience, elewa bac. Unajua maana ya pseudoscience kwanza
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230808-074158.png
    47.6 KB · Views: 10
🤣🤣🤣 Uchawi haupo...Kama ushahidi upo tuambie .watu wazima sisi hatuwezi acha familia zetu na kazi zetu ili nikaone mbuzi anapaa
 
Nilishakuambia unachoita Uchawi kina KUTEGA NA KUTEGUA, Kina Kanuni na Sheria zake.

Haya, Kacheze na watoto wenzako!
🤣Bac we tegua, sijui tega, wafike. Otherwise Baki huko huko na ujinga wako usinipotezee mda
 
Nimeiona na naiishi Tanzania, uchawi mtupu.
 
Uzi unavyo jieleza na mbweha moja inayo endelea kupinga tuachane nayo, em tuendelee na uzi wetu akikutag unaachana nae. Watu wengi humu tunakutana na vitu ambavyo unaona kabisa ni uchawi yeye anapinga kudadadeki tuendelee na uzi wetu tusimjali.
🤣🤣🤣We unaona ni uchawi coz huna elimu. Kuna effect ya jamii pia. Mfano Mimi sijawahi ona uchawi because
1. Nazungukwa na jamii ambayo inajielewa, ipo good upstairs na hawana shida ndogo za kumlaumu mjomba wao kawaloga
2. Kutokana na mazingira hayo, hata fikra za kichawi haziwezi kuja coz sio kitu ambacho umekuwa indoctrinated nacho na ndugu au marafiki.
3. So hata ikitokea issue tuseme sleep paralysis au hallucinations it's unlikely utaona kitu Cha ajabu Sana coz ur mind haijawa fed hayo mambo.
Sasa tofauti na nyie ni kwamba jamii zinazowazunguka mnaamini uchawi kutokana na ujinga na umaskini inapelekea akili yako ijenge images na ndo unakuta unaona hivi vitu..ila in reality havipo. Mi naongea very peaceful very educational lakini bado mtasema najaribu Uzi wenu. Ndo maana nikasema Kama Kuna mtu anadhani ametokewa na kitu so extraordinary ambacho hakipo limited to macho yake au ya rafiki yake tu bali everyone can see na anaweza prove kwamba ni ukweli na sio maruweruwe au story za kijiweni. Aje aseme. Ila nobody did...kila mtu anakuja na vitisho Mara Sali sana, Mara kua uone, Mara nenda mtaani, mwingine kijijini. Tupeni evidence tuwakubali, mbona jua lipo hatubishani, hata kipofu anajua jua lipo coz anahisi joto lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…