Kwa sababu tu hauamini uchawi ndio maana huwezi kufikiria kuwa pengine uchawi wawezakuwa unahusika katika hilo tukio, ila kama nilivyosema kwamba uchawi sio kitu ambacho hutumia kukitaja tusipoelewa jambo bali uchawi ni kitu ambacho tunadili nacho.But u can't prove ipo...it's just an easy answer...mtu unajiskia raha kusema ni uchawi au miujiza coz it is more appealing. Lakini unaona uvivu kufikiria the real reason..ndo maana wenzetu wameendelea
Vyote havieleweki.Vyote
Hizo ndio kazi za waganga kuotea kama mtu kafa? Kwamba watu wanaenda kwa waganga ili kuambiwa watu waliyokufa?Mi naweza nikasema Babu yako amefariki na kweli akawa amefariki. It's just a mind game intelligent guess
Hamna Cha kutisha..pia Kuna placebo effect, so yeah..
Ubaya wanashindwa kuonyesha huo usomi kwenye kutetea hoja zao.Kuna watu wangese sana humu, yan uzaliwe Africa tena bongo halafu unajikazisha fuvu maksudi kuwa uchawi haupo, kisa muonekane wasomi.
Mnaboa sana.
Nani kasema Mungu na uchawi ni kitu sawa. Mi siamini Mungu...Ila kuamini Kuna muumba haikupi ruhsa kuamini Kuna uchawi ..ni ujinga tu...ukipata correlation yake niambieUchawi upo unabisha uchawi haupo na unaamini kuna MUNGU wewe ni mwehu
😂Wachawi wanachagua sehemu za kuishi kumbe....Sasa na hoja zako za kuleta uthibitisho wa Uchawi humu ndani zife, maana unajua wapi wachawi wanaishi. Wafuate ukajithibishie madai yako.
Halafu namna yako ya kuitaja NASA inakufanya uonekane ni hamnazo kichwani.
Kaa chini!
😂😂😂😂😂Sawa uliyekomaa akili na unaona maruwe ruweUkikomaa utajua umri sio miaka ya kuzaliwa. Maliza fua kwanza hilo.
😂Hee so mi sielewi coz mi sio chizi naona vitu halisi.. sawa mkuuUngejipa muda wa kutumia akil hata usingefika kote huku..Anyway.Kuelewa mambo kwa upana nacho ni kipaji na si cha kila mtu.Pole mkuu.
😂😂😂Si ndoto....we ushajiwekea akilini hiki chumba kina mauchawi kwa Nini usiote..ukimwaza mtu Sana si unamuota..,😂unaleta story za kitoto kichizi.Kwahiyo hata walinzi, madereva na wavuvi wa huko kwa wenzetu nao hupatwa na uchovu na kuona vitu kama hivyo?
Vp kuhusu mimi kuota ndoto mbaya nilipokuwa nalala chumba kilichowahi kutumiwa na mganga? Kisaikolojia hii ikoje?
Ipo wapi?
Nitaipost tenaIpo wapi?
Nitajie matajiri wa Dubai ambao wanaamini uchawiMbona povu? Kwa sababu ni matajiri ndio maana unaona hawaamini uchawi kwa kuwa umekariri kuwa watu masikini tu ndio wanaamini uchawi na kuamini kwao uchawi ndio huwafanya wawe masikini.
Nitajie tajiri wa Dubai anayeamini uchawiMbona povu? Kwa sababu ni matajiri ndio maana unaona hawaamini uchawi kwa kuwa umekariri kuwa watu masikini tu ndio wanaamini uchawi na kuamini kwao uchawi ndio huwafanya wawe masikini.
Nitolee real example Sasa yenye uthibitisho wa ukweli kwamba hii kitu ni uchawiKwa sababu tu hauamini uchawi ndio maana huwezi kufikiria kuwa pengine uchawi wawezakuwa unahusika katika hilo tukio, ila kama nilivyosema kwamba uchawi sio kitu ambacho hutumia kukitaja tusipoelewa jambo bali uchawi ni kitu ambacho tunadili nacho.
Hujanielewa..soma Tena.Hizo ndio kazi za waganga kuotea kama mtu kafa? Kwamba watu wanaenda kwa waganga ili kuambiwa watu waliyokufa?
Hiyo placebo effect kwa matatizo gani huko kwa mganga?
Fafanua msomi ili tuelewe na sie masikini tusiokuwa na elimu.
😂😂😂😂😂Acha kudharau bara na nchi yako...kisa we muafrika haimaanishi uwe mjinga mshirikina chizi maskini etc...Kuna watu wangese sana humu, yan uzaliwe Africa tena bongo halafu unajikazisha fuvu maksudi kuwa uchawi haupo, kisa muonekane wasomi.
Mnaboa sana.
We unaesema uchawi upo tuonyesheUbaya wanashindwa kuonyesha huo usomi kwenye kutetea hoja zao.
Tuambie mkuu tujue yaliyomo dunianiNimeona mengi...
Siwezi sema màana yanaumiza...
Hapana, mimi nimekuja kujua baadaye na hata hivyo sikuwa nahofu na hicho chumba sikuwa nakiogopa kama ningekuwa nakiogopa hiko chumba nisingekubali kulala, na kwa umri ule hata sikuwa na uelewa kujua chumba cha mganga huwa kinakuwaje hadi niogope.😂😂😂Si ndoto....we ushajiwekea akilini hiki chumba kina mauchawi kwa Nini usiote..ukimwaza mtu Sana si unamuota..,😂unaleta story za kitoto kichizi.