Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

But u can't prove ipo...it's just an easy answer...mtu unajiskia raha kusema ni uchawi au miujiza coz it is more appealing. Lakini unaona uvivu kufikiria the real reason..ndo maana wenzetu wameendelea
Kwa sababu tu hauamini uchawi ndio maana huwezi kufikiria kuwa pengine uchawi wawezakuwa unahusika katika hilo tukio, ila kama nilivyosema kwamba uchawi sio kitu ambacho hutumia kukitaja tusipoelewa jambo bali uchawi ni kitu ambacho tunadili nacho.
 
Mi naweza nikasema Babu yako amefariki na kweli akawa amefariki. It's just a mind game intelligent guess
Hamna Cha kutisha..pia Kuna placebo effect, so yeah..
Hizo ndio kazi za waganga kuotea kama mtu kafa? Kwamba watu wanaenda kwa waganga ili kuambiwa watu waliyokufa?

Hiyo placebo effect kwa matatizo gani huko kwa mganga?

Fafanua msomi ili tuelewe na sie masikini tusiokuwa na elimu.
 
Kuna watu wangese sana humu, yan uzaliwe Africa tena bongo halafu unajikazisha fuvu maksudi kuwa uchawi haupo, kisa muonekane wasomi.
Mnaboa sana.
Ubaya wanashindwa kuonyesha huo usomi kwenye kutetea hoja zao.
 
Uchawi upo unabisha uchawi haupo na unaamini kuna MUNGU wewe ni mwehu
Nani kasema Mungu na uchawi ni kitu sawa. Mi siamini Mungu...Ila kuamini Kuna muumba haikupi ruhsa kuamini Kuna uchawi ..ni ujinga tu...ukipata correlation yake niambie
 
Sasa na hoja zako za kuleta uthibitisho wa Uchawi humu ndani zife, maana unajua wapi wachawi wanaishi. Wafuate ukajithibishie madai yako.

Halafu namna yako ya kuitaja NASA inakufanya uonekane ni hamnazo kichwani.

Kaa chini!
😂Wachawi wanachagua sehemu za kuishi kumbe....
 
Kwahiyo hata walinzi, madereva na wavuvi wa huko kwa wenzetu nao hupatwa na uchovu na kuona vitu kama hivyo?

Vp kuhusu mimi kuota ndoto mbaya nilipokuwa nalala chumba kilichowahi kutumiwa na mganga? Kisaikolojia hii ikoje?
😂😂😂Si ndoto....we ushajiwekea akilini hiki chumba kina mauchawi kwa Nini usiote..ukimwaza mtu Sana si unamuota..,😂unaleta story za kitoto kichizi.
 
Mbona povu? Kwa sababu ni matajiri ndio maana unaona hawaamini uchawi kwa kuwa umekariri kuwa watu masikini tu ndio wanaamini uchawi na kuamini kwao uchawi ndio huwafanya wawe masikini.
Nitajie matajiri wa Dubai ambao wanaamini uchawi
 
Mbona povu? Kwa sababu ni matajiri ndio maana unaona hawaamini uchawi kwa kuwa umekariri kuwa watu masikini tu ndio wanaamini uchawi na kuamini kwao uchawi ndio huwafanya wawe masikini.
Nitajie tajiri wa Dubai anayeamini uchawi
 
Kwa sababu tu hauamini uchawi ndio maana huwezi kufikiria kuwa pengine uchawi wawezakuwa unahusika katika hilo tukio, ila kama nilivyosema kwamba uchawi sio kitu ambacho hutumia kukitaja tusipoelewa jambo bali uchawi ni kitu ambacho tunadili nacho.
Nitolee real example Sasa yenye uthibitisho wa ukweli kwamba hii kitu ni uchawi
 
Hizo ndio kazi za waganga kuotea kama mtu kafa? Kwamba watu wanaenda kwa waganga ili kuambiwa watu waliyokufa?

Hiyo placebo effect kwa matatizo gani huko kwa mganga?

Fafanua msomi ili tuelewe na sie masikini tusiokuwa na elimu.
Hujanielewa..soma Tena.
 
Kuna watu wangese sana humu, yan uzaliwe Africa tena bongo halafu unajikazisha fuvu maksudi kuwa uchawi haupo, kisa muonekane wasomi.
Mnaboa sana.
😂😂😂😂😂Acha kudharau bara na nchi yako...kisa we muafrika haimaanishi uwe mjinga mshirikina chizi maskini etc...
 
Uchawi hauna tofauti na huyu dragon
 
Attachments

  • images (61).jpeg
    images (61).jpeg
    37.9 KB · Views: 8
😂😂😂Si ndoto....we ushajiwekea akilini hiki chumba kina mauchawi kwa Nini usiote..ukimwaza mtu Sana si unamuota..,😂unaleta story za kitoto kichizi.
Hapana, mimi nimekuja kujua baadaye na hata hivyo sikuwa nahofu na hicho chumba sikuwa nakiogopa kama ningekuwa nakiogopa hiko chumba nisingekubali kulala, na kwa umri ule hata sikuwa na uelewa kujua chumba cha mganga huwa kinakuwaje hadi niogope.

Halafu nimeuliza wavuvi,walinzi,madereva wa huko kwa wenzetu nao huwa wanaona mauzauza kama huku kutokana na uchovu?
 
Back
Top Bottom